mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Malasusa amemuweka Dr shoo kwapani anavurugu vuruga anavyotaka yeye ni kama amemuweka kwenye mtaro wake wa equatorKwa nin mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malasusa amemuweka Dr shoo kwapani anavurugu vuruga anavyotaka yeye ni kama amemuweka kwenye mtaro wake wa equatorKwa nin mkuu
NamkubaliJamaa anakwambia ukiondoa RC wengine wote hakuna makanisa Ila ni madalali tu, Kimaro huyo sio mimi
Na udongoNamkubali
Siku hizi kuna makanisa ya maji, mafuta na chumvi hayana tofauti na uganga wa jadi
Wanasoma upepo, nimesikia redioni asubuhi, KKKT Kijitonyama palizungukwa na polisi haikuwa tofauti na;Kesho kutwa kijitonyama ibada ataendesha nani?
The more you donate the more your Pastor smiles at you regardless of your sinskanisa letu limejikita kuhubiri michango na utoaji kuliko kuponya na kuinua watu spiritually ndo mana kuna ma conflict of interest
KWanasoma upepo, nimesikia redioni asubuhi, KKKT Kijitonyama palizungukwa na polisi haikuwa tofauti na;
- Ufipa
- Buguruni
- Kagera Usalama
KWanasoma upepo, nimesikia redioni asubuhi, KKKT Kijitonyama palizungukwa na polisi haikuwa tofauti na;
- Ufipa
- Buguruni
- Kagera Usalama
Ndani ya miaka michache tu wamezingiraPolisikkkt wametoka konde Sasa wapo kijito nyama
K
Sijui kama Askofu mwaikali amekumbuka kumpa salamu za pole mchungaji?Ndani ya miaka michache tu wamezingira
Dayosisi ya Mtwara
Dayosisi ya Kusini
Dayosisi ya Konde
Dayosisi ya Mashariki na Pwani
Ukichunguza why? Utagundua ni upigaji mwingi unaligawa Kanisa
Hakuna mtumishi hapo, huyo ni mpigaji tu.Pole sana.
Hii itakulipa kwa wakati wake.
Huwezi kufurahia mateso ya mtumishi wa Mungu akubaki salama.
Mambo haya ni magumu bora ukabaki nyutro kuliko kujifanya unajua
Siongezi wala kupunguza neno:
Ujinga mtupu,mchungaji kumbe kafoji cheti cha form 4.Halafu anajiita DR..Niliwahi msikiliza mara moja tu,nikasema hakuna kitu hapo.Wajinga wenzake ndo mnamkubali.Kibri kipi bwana ukweli chuki tu ukweli usemwe Kimaro Ndo habari ya mjini tukubali tukatae Mimi ujue sikosagi vipindi vyake nikipata nafasi anatia faraja yule anafundisha nadhani wameogopa anawaoutshine Sanaa viongozi.
Kuhusu picha ni vitu vidogo tafsiri zao Ndo zao yeye ukute hamaanishi wanavomaanisha. Ni wivu tu hakuna lingine wanadamu wanaangalia kitu kidogo sana Ndo wanakibeba kuliko mema yake
Si wangesubiri amalize semina kama wao Wana hofu na Mungu kweli!mtu amejipanga halafu mnamkatisha palipo na riziki hapakosi fitna.
KKKT wamefeli Kwa hili
Ndo watumishi feki hutumia huo mstari kuwachota kiakili wapumbavu. Eti anointing..Anointed mfoji cheti. Mfyuuuuuu.Imeandikwa; “ do not touch my anointing “
Don’t touch Mr. Kimaro
Sasa ndio umlazimishe aende likizo?yani unamlazimisha mtumishi kupumzika wakati yupo na ratiba zake,kwa nini wasingesubiri amalize hio semina wiki 2,ndio wamlazimishe likizo
Waumini mnachezeshwa kwata tu
Haya makanisa ni ujinga na utapeli tu
Ulizia upate ukweli, Kimaro ni milionea na majumba tele.Kwani kimaro alianza kufanya biashara badala ya huduma za kanisa