Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Kwenye hili nahisi pastor kimaro ataenda kujitafakari
Mimi ni muumini wa KKKT hapo kijitonyama, shida iliyokuwepo kwa mchungaji kimaro ni kwamba alikua anaenda kinyume na utaratibu wa kanisa..
Nanyi mnamatatizo sana, mlichosahau tu ni kuwa yeye pia ni Binadamu anaweza kuwa na mapungufu yake lakini anakpawa cha ufundishaji na kanisa limestawi.

Hayo mapungufu uliyoyaongea ni madogo sana sio sawa kumsimamisha kazi ya uchungaji
 
Na hao wachungaji wawili ndio wanaojaza wahumini kkkt angalau kunaonekana kuna waumini maana wanajua kuenenda na mahitaji ya sasa ya waumini nyie endeleeni kuwakera waumini tu.
 
We jamaa mbona unaonekana kilaza sana???????

KKKT IMEKUWA na wachungaji wa kike tangu na Tangu.
Hao wachungaji wa Kike huwa wananyanyaswa sana na maaskofu wao.

Mwenye kumfahamu mchungaji ambaye mwanamke ambaye ni askofu au mkuu wa Jimbo aweke jina lake hapa.

Issue ya jinsia Huku KKKT ni tatizo kubwa
 
Huyu mastah mmeshamshindwa na hamtomuweza,tatzo lenu hampend ukweli kuna video moja nlimuona kimaro akiwasifia mapadre wa kikatoliki nadhani hii pia imewauma,
 
Bill kuwasahau wanyakyusa ,anayeliongoza kanisa Ni malasusa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nimeishia kusoma hapo si muumini wa Lutheran


Sasa unakaza shingo kwa usiyojua ili iweje
Mi nikajua unakuja na facts
 
Haya maswali majibu yake atajibu Mkuu wa Kanisa hilo Dr Fredrick Shoo
 
Kwenye hili nahisi pastor kimaro ataenda kujitafakari
Mimi ni muumini wa KKKT hapo kijitonyama, shida iliyokuwepo kwa mchungaji kimaro ni kwamba alikua anaenda kinyume na utaratibu wa kanisa na kibaya zaidi alisha onywa zaidi ya mara...
Napenda kufahamu pia kuhusu Rev. Daniel Mgogo kama bado yupo KKKT?

Waamini wanapaswa kuijua kweli nakumtafuta Mungu maana tumepewa akili na hekima ya kung'amua lililo jema.
 
Mmmm we mtu bila kkkt ungemjua kimaro? Tena kijitonyama
Kwan alianzia pale uchungaji? La hasha waza upya
Kkkt ni platform, yeye ana kipaji, sasa tuue kipaji kwasababu za wivu? Shetani amewazidi uwerevu?

Kwani huyo mchungaji ana hubiri Quran? Si vitabu vya kikristu? Amehubiri mambo ya kumpinga kristu? Shida yenu ni nini? Kukubalika kwake, kupendwa kwake?kipaji chake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…