Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Nanyi mnamatatizo sana, mlichosahau tu ni kuwa yeye pia ni Binadamu anaweza kuwa na mapungufu yake lakini anakpawa cha ufundishaji na kanisa limestawi.Kwenye hili nahisi pastor kimaro ataenda kujitafakari
Mimi ni muumini wa KKKT hapo kijitonyama, shida iliyokuwepo kwa mchungaji kimaro ni kwamba alikua anaenda kinyume na utaratibu wa kanisa..
Hayo mapungufu uliyoyaongea ni madogo sana sio sawa kumsimamisha kazi ya uchungaji