Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Mchungaj Anna ndi tatizo pale kanisan kwetu tangu aje yy wafanyakazi wengi wanaondolewa pale Anna ni mfitini sana.Hana lolote huyo!
Ukimsoma vizuri kwa utulivu utagundua yeye Kuna mawili;
1. Ama ndiye Mchungaji Anna
Au
2. Ni wale wanafiki na mahasidi wa kanisa.
Wachawi nao wanasali makanisani!
Lakini Pastor Kimaro kama mmemuonea mjue Mungu anaenda kumuinua zaidi.
Roho wa Mungu ampe subira na hekima kuvuka jaribu hilo.
Ikimpendeza Roho namshauri afanye kama huduma ya Mwakasege.
Au aanzishe kanisa .
Mara nyingi San akiwasifu wahumini wa katolikiHuyu mastah mmeshamshindwa na hamtomuweza,tatzo lenu hampend ukweli kuna video moja nlimuona kimaro akiwasifia mapadre wa kikatoliki nadhani hii pia imewauma,
Huyo Kimaro na Mgogo ndiyo wanalibeba kanisa, shida ni kwamba kazi ya Mungu lazima ipate upinzani wa shetani na hao wanao mletea figisu ndiyo mashetani wenyewe
Mnaongea upumbafu gani1. AKIWA siku zake itakuwaje?
2. akipata mimba alafu mshirika ndio gyno wake, yaani mshirika anapitisha mikono huko chini kuangalia kama "K" imefunguka vizuri itakuwaje?
3. Jumapili asubuhi mume wake ukute ana ugwadu na kuna kabaridi kakunjwa kisawasawa na akashindwa kuamka itakuwaje?
Hapo hapamfai tena viwango vyake kihuduma vimeshavuka mipaka ya hapo ndio maana yanatokea hayo!Hana lolote huyo!
Ukimsoma vizuri kwa utulivu utagundua yeye Kuna mawili;
1. Ama ndiye Mchungaji Anna
Au
2. Ni wale wanafiki na mahasidi wa kanisa.
Wachawi nao wanasali makanisani!
Lakini Pastor Kimaro kama mmemuonea mjue Mungu anaenda kumuinua zaidi.
Roho wa Mungu ampe subira na hekima kuvuka jaribu hilo.
Ikimpendeza Roho namshauri afanye kama huduma ya Mwakasege.
Au aanzishe kanisa .
Inaonekana mkuu na wewe ni mmoja wa wanaomfanyia figisu huyo mchungaji, eti unamuombea arudi kundini na awe mnyenyekevu kwa Mungu, kwahiyo ina maana yeye kazi anayoifanya ni kumtukuza shetani...!Kwenye hili nahisi pastor kimaro ataenda kujitafakari
Mimi ni muumini wa KKKT hapo kijitonyama, shida iliyokuwepo kwa mchungaji kimaro ni kwamba alikua anaenda kinyume na utaratibu wa kanisa na kibaya zaidi alisha onywa zaidi ya mara 3 ila shida yake akiitwa akaonywa anakuja kanisani anaanza kuongea kwa waamini na kurusha vijembe kwa viongozi wake
Tarehe 8 ukiweza fatilia alichokifanya kwa pastor mwenzake ANNA maneno aliyoongea kumuhusu huyo mchungaji kuna jambo utaelewa
Kimaro ana kiburi cha umaarufu
Mchungaji hafati karenda ya kanisa, yeye anafanya mambo yake, aliitwa akaonywa ila akaja kanisani hadharani na kusema hawezi kupangiwa cha kufanya ila Mungu tu, sasa hapo kweli kuna utii,
Kimaro toka amekuja usharikani anazo nyimbo 6 tu anazo imba kutoka kitabu cha tumwabudu Mungu wetu, aliitwa akaambiwa hiki kitu ila akawa mkaidi, ni mchungaji anayependa yeye aongee zaidi, hapendi kuwapa wachungaji wengine nafasi ya kuhubiri, ikitokea mchungaji mwingine akaubiri basi na yeye baada ya mahubiri atasimama na kuanza kujazilishia kuonekana kwamba mwenzake hajafanya kama inavyo paswa. Ni kimaro na masai wa kimara ambao ukifatilia utaratibu wanao ufanyq kanisani siyo wa kkkt ila najua wachache sana wataelewa hili.
Kama mtaweza kumbuka pia aliondolewa kwenye vipindi vya upendo Tv kisa mambo yake hayo ya kufanya kinyume na utaratibu wa kanisa ikabidi wamuonye ila akakaidi, baada ya kuondolewa alikuja kanisani hadharani na kuanza kusimanga na kuongea mbovu na tokea hapo hajawahi kutangaza kitu chochote kinacho husu upendo kama magazeti,
Alitamba sana kwamba kwa jinsi alivyo barikiwa na Mungu hakuna mwanadamu wa kumshusha hapo alipo, na haya alikua anaongea kanisani mbele ya waamini na kujitapa kabisa
Kwa sisi waamini wachache ambao tulikua tunamuona kanisani na kutambua madhaifu yake tulijua hana mda mrefu atapigwa chini na kweli leo kaondoka
Wengi mnaongea hamjui kilicho nyuma ya huyu kimaro ila nakuhakikishia KKKT KIJITONYAMA haiwezi kutetereka kisa kimaro kuondolewa na alishasema akitolewa kujitonyama basi ataanzisha kanisa lake, ngoja nione atakachofanya baada ya hili.
Namuombea hekima na maarifa atambue kosa lake arudi kundini na awe mnyenyekevu kwa Mungu na Viongozi na Kanisa kwa ujumla.
ANAYEFATA NI MASAI WA KIMARA MWISHO.
mnyakyusa, MALASUSA naye ndio anayedili na KIMARO, haoni hasara na usishangae kanisa akapewa CHRISTOPHER MWAKASEGE.
Kwenye hili nahisi pastor kimaro ataenda kujitafakari

Sina shida na mafundisho yake ila utii na kujikweza Ni mbaya SanaMimi pia ni msharika wa KKKT kijitonyama.
Yaliyo chini ya PAZIA ni Mengi mno...
Mimi nilikuwa sijui kinachoendelea hapo Kijitonyama ila ulivyoanza kuelezea tu kichwa changu kikaenda kwa Mchungaji Mastai wa Kimara.Nimesali pale Kimara mara moja moja nikimtembelea jamaa yangu,ni kweli ibada za pale sio za KKKT. Kuna siku ilibidi wenzangu waende pale mimi nikapitiliza nikaenda kusali Ubungo,niliwaambia mimi nimezoea ibada zetu za kilutheri hapo siwezi.
KKKT ni Moja ya taasisi za kipigajiNilihisi hiki kitu. Makanisa kama KKKT, Anglican na RC yanaongozwa kitaasisi.. nilivyomuona Kimaro nilijua tu kuna kamba ameiruka na atafyatuliwa tu.
Nampenda lkn akiamua kuwa KKKT basi na ayafuate ya KKKT
Wewe jamaa ni mshenzi wa hovyo sijawahi kuona tangu nimejiunga hapa Twitter.Mimi Nimezaliwa katika familia ya kiluteri na kupata hadi kipaimara ila mambo haya ya migogoro upande wa viongozi yalinikera ukifuatilia
JiheshimuMakanisa na migogoro ni sawa na samaki na maji.
Makanisa yote yemejaa changamoto, wakatoliki na ushoga na ulawiti watoto, waangillikano ushoga, walutheri sadaka na ukabila, wasabato ukabila, unafiki, walokole sadaka, ni balaa tupu...
Usishauhuri aanzishe kanisa siyo sawa Ni Bora umshauri awwe na utii na kujishusha kdgHana lolote huyo!
Ukimsoma vizuri kwa utulivu utagundua yeye Kuna mawili;
1. Ama ndiye Mchungaji Anna
Au
2. Ni wale wanafiki na mahasidi wa kanisa.
Wachawi nao wanasali makanisani!
Lakini Pastor Kimaro kama mmemuonea mjue Mungu anaenda kumuinua zaidi.
Roho wa Mungu ampe subira na hekima kuvuka jaribu hilo.
Ikimpendeza Roho namshauri afanye kama huduma ya Mwakasege.
Au aanzishe kanisa .
Umesema vema kabisaa mamii.Kwenye hili nahisi pastor kimaro ataenda kujitafakari
Mimi ni muumini wa KKKT hapo kijitonyama, shida iliyokuwepo kwa mchungaji kimaro ni kwamba alikua anaenda kinyume na utaratibu wa kanisa na kibaya zaidi alisha onywa zaidi ya mara...
Unajua mambo ya dini pia hutegemea kiongozi wa dini wa sehemu husika, kuna viongozi wa dini ni kama wamepewa karama kwa jinsi wanavyoelimisha waumini wao na kukubalika.Mimi Nimezaliwa katika familia ya kiluteri na kupata hadi kipaimara ila mambo haya ya migogoro upande wa viongozi yalinikera ukifuatilia chanzo pesa afu michango karibia mitano lol niliamua niwe tu nasali kwa ukawaida kwa mashahidi wa yehova watu walio na upendo wa hali ya juu wakiyaishi maisha ya viwango ya kikristo kwa matendo.kwanza kkkt inashangaza eti mtu anaweza akaacha kanisa lake la kkkt mtaani ila akawa anaenda kusali usharika wa kimara eti kisa mchungaji wa kimara ni maarufu anamvutia swali je akifa huyo mchungaji utaendelea kwenda huo usharika wa kimara????