Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Hana lolote huyo!

Ukimsoma vizuri kwa utulivu utagundua yeye Kuna mawili;
1. Ama ndiye Mchungaji Anna
Au
2. Ni wale wanafiki na mahasidi wa kanisa.

Wachawi nao wanasali makanisani!

Lakini Pastor Kimaro kama mmemuonea mjue Mungu anaenda kumuinua zaidi.

Roho wa Mungu ampe subira na hekima kuvuka jaribu hilo.

Ikimpendeza Roho namshauri afanye kama huduma ya Mwakasege.

Au aanzishe kanisa .
Mchungaj Anna ndi tatizo pale kanisan kwetu tangu aje yy wafanyakazi wengi wanaondolewa pale Anna ni mfitini sana.
 
1. AKIWA siku zake itakuwaje?

2. akipata mimba alafu mshirika ndio gyno wake, yaani mshirika anapitisha mikono huko chini kuangalia kama "K" imefunguka vizuri itakuwaje?

3. Jumapili asubuhi mume wake ukute ana ugwadu na kuna kabaridi kakunjwa kisawasawa na akashindwa kuamka itakuwaje?
Mnaongea upumbafu gani

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hana lolote huyo!

Ukimsoma vizuri kwa utulivu utagundua yeye Kuna mawili;
1. Ama ndiye Mchungaji Anna
Au
2. Ni wale wanafiki na mahasidi wa kanisa.

Wachawi nao wanasali makanisani!

Lakini Pastor Kimaro kama mmemuonea mjue Mungu anaenda kumuinua zaidi.

Roho wa Mungu ampe subira na hekima kuvuka jaribu hilo.

Ikimpendeza Roho namshauri afanye kama huduma ya Mwakasege.

Au aanzishe kanisa .
Hapo hapamfai tena viwango vyake kihuduma vimeshavuka mipaka ya hapo ndio maana yanatokea hayo!
 
Kwenye hili nahisi pastor kimaro ataenda kujitafakari
Mimi ni muumini wa KKKT hapo kijitonyama, shida iliyokuwepo kwa mchungaji kimaro ni kwamba alikua anaenda kinyume na utaratibu wa kanisa na kibaya zaidi alisha onywa zaidi ya mara 3 ila shida yake akiitwa akaonywa anakuja kanisani anaanza kuongea kwa waamini na kurusha vijembe kwa viongozi wake
Tarehe 8 ukiweza fatilia alichokifanya kwa pastor mwenzake ANNA maneno aliyoongea kumuhusu huyo mchungaji kuna jambo utaelewa
Kimaro ana kiburi cha umaarufu
Mchungaji hafati karenda ya kanisa, yeye anafanya mambo yake, aliitwa akaonywa ila akaja kanisani hadharani na kusema hawezi kupangiwa cha kufanya ila Mungu tu, sasa hapo kweli kuna utii,

Kimaro toka amekuja usharikani anazo nyimbo 6 tu anazo imba kutoka kitabu cha tumwabudu Mungu wetu, aliitwa akaambiwa hiki kitu ila akawa mkaidi, ni mchungaji anayependa yeye aongee zaidi, hapendi kuwapa wachungaji wengine nafasi ya kuhubiri, ikitokea mchungaji mwingine akaubiri basi na yeye baada ya mahubiri atasimama na kuanza kujazilishia kuonekana kwamba mwenzake hajafanya kama inavyo paswa. Ni kimaro na masai wa kimara ambao ukifatilia utaratibu wanao ufanyq kanisani siyo wa kkkt ila najua wachache sana wataelewa hili.
Kama mtaweza kumbuka pia aliondolewa kwenye vipindi vya upendo Tv kisa mambo yake hayo ya kufanya kinyume na utaratibu wa kanisa ikabidi wamuonye ila akakaidi, baada ya kuondolewa alikuja kanisani hadharani na kuanza kusimanga na kuongea mbovu na tokea hapo hajawahi kutangaza kitu chochote kinacho husu upendo kama magazeti,
Alitamba sana kwamba kwa jinsi alivyo barikiwa na Mungu hakuna mwanadamu wa kumshusha hapo alipo, na haya alikua anaongea kanisani mbele ya waamini na kujitapa kabisa

Kwa sisi waamini wachache ambao tulikua tunamuona kanisani na kutambua madhaifu yake tulijua hana mda mrefu atapigwa chini na kweli leo kaondoka
Wengi mnaongea hamjui kilicho nyuma ya huyu kimaro ila nakuhakikishia KKKT KIJITONYAMA haiwezi kutetereka kisa kimaro kuondolewa na alishasema akitolewa kujitonyama basi ataanzisha kanisa lake, ngoja nione atakachofanya baada ya hili.

Namuombea hekima na maarifa atambue kosa lake arudi kundini na awe mnyenyekevu kwa Mungu na Viongozi na Kanisa kwa ujumla.

ANAYEFATA NI MASAI WA KIMARA MWISHO.
Inaonekana mkuu na wewe ni mmoja wa wanaomfanyia figisu huyo mchungaji, eti unamuombea arudi kundini na awe mnyenyekevu kwa Mungu, kwahiyo ina maana yeye kazi anayoifanya ni kumtukuza shetani...!
 
Hivi KKKT KImara mwisho Iko sehemu gani?
 
Hawa wachungaji wa kkkt elimu za theoloji walizosomea zinawasaidia nini? Taabu ya nini kujikuta kwenye migogoro ya kioongozi badala ya kuanzisha kanisa au huduma ya kiroho?

Tatizo ni fedha na mali tu ndio cha migogoro mingi ya walutheri na ndugu zao wengine. Ni aibu sana kuendesha kanisa huku roho iko kwenye fedha na mali
 
Mimi pia ni msharika wa KKKT kijitonyama.

Yaliyo chini ya PAZIA ni Mengi mno...
Sina shida na mafundisho yake ila utii na kujikweza Ni mbaya Sana

Mara kadhaa namuona akaiwasifia RC Eti kkkt haiwezi kutoa kiti Cha urais wa nnchi hi yeye kimaro aliyasema mbele ya Dr mwigulu nchemba madelo

Sijapendezwa na kauli zake za kusema kuwa kkkt haitaweza kumtoa mtu kuwa rais

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilikuwa sijui kinachoendelea hapo Kijitonyama ila ulivyoanza kuelezea tu kichwa changu kikaenda kwa Mchungaji Mastai wa Kimara.Nimesali pale Kimara mara moja moja nikimtembelea jamaa yangu,ni kweli ibada za pale sio za KKKT. Kuna siku ilibidi wenzangu waende pale mimi nikapitiliza nikaenda kusali Ubungo,niliwaambia mimi nimezoea ibada zetu za kilutheri hapo siwezi.

Ugomvi wa Mastai korogwe ni zaidi ya Ibada
Ni mambo ya sadaka
 
Makanisa na migogoro ni sawa na samaki na maji.

Makanisa yote yemejaa changamoto, wakatoliki na ushoga na ulawiti watoto, waangillikano ushoga, walutheri sadaka na ukabila, wasabato ukabila, unafiki, walokole sadaka, ni balaa tupu...
Jiheshimu

Kwenye ukatoliki hakuna migogoro ya kisenge na kifala kama hiyo uliyotaja.

Wakatoliki migogoro yao ni kugombania umiliki wa ardhi na wananchi wa kawaida.
 
Hana lolote huyo!

Ukimsoma vizuri kwa utulivu utagundua yeye Kuna mawili;
1. Ama ndiye Mchungaji Anna
Au
2. Ni wale wanafiki na mahasidi wa kanisa.

Wachawi nao wanasali makanisani!

Lakini Pastor Kimaro kama mmemuonea mjue Mungu anaenda kumuinua zaidi.

Roho wa Mungu ampe subira na hekima kuvuka jaribu hilo.

Ikimpendeza Roho namshauri afanye kama huduma ya Mwakasege.

Au aanzishe kanisa .
Usishauhuri aanzishe kanisa siyo sawa Ni Bora umshauri awwe na utii na kujishusha kdg

Makanisa yatapita tu Ila neno la mungu litabaki milele

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mimi Nimezaliwa katika familia ya kiluteri na kupata hadi kipaimara ila mambo haya ya migogoro upande wa viongozi yalinikera ukifuatilia chanzo pesa afu michango karibia mitano lol niliamua niwe tu nasali kwa ukawaida kwa mashahidi wa yehova watu walio na upendo wa hali ya juu wakiyaishi maisha ya viwango ya kikristo kwa matendo.kwanza kkkt inashangaza eti mtu anaweza akaacha kanisa lake la kkkt mtaani ila akawa anaenda kusali usharika wa kimara eti kisa mchungaji wa kimara ni maarufu anamvutia swali je akifa huyo mchungaji utaendelea kwenda huo usharika wa kimara????
Unajua mambo ya dini pia hutegemea kiongozi wa dini wa sehemu husika, kuna viongozi wa dini ni kama wamepewa karama kwa jinsi wanavyoelimisha waumini wao na kukubalika.

Ni kama shuleni kuna walimu, kwa kipaji chake na mbinu zake za kufundisha, huwavutia wanafunzi mpaka wale watoro...

Mimi mtaani kwangu kuna msikiti mkubwa tuu but Sala ya Ijumaa huwa naenda msikiti mwingine mbali kidogo kwa sababu ya namna nzuri ya kuongoza na mawaidha mazuri ya msikiti ule.
 
Back
Top Bottom