samweli wa pili
JF-Expert Member
- Mar 21, 2018
- 410
- 284
Unesema kweli mtumishi. Mimi siko ndani ya kkkt lakini nilikuwa nafuatilia mahubiri ya rev Kimaro. Mwanzoni nikimwelewa lakini baadaye nikiacha kumfuatilia baada ya kugundua kaingiwa na kiburi na ushabiki hasa mafundisho yake ya ndoa.Kwenye hili nahisi pastor kimaro ataenda kujitafakari
Mimi ni muumini wa KKKT hapo kijitonyama, shida iliyokuwepo kwa mchungaji kimaro ni kwamba alikua anaenda kinyume na utaratibu wa kanisa na kibaya zaidi alisha onywa zaidi ya mara...
Anezidisha mwembembwe na washabiji zake wengi ni wanawake. Pia hudharau wachungaji wenzake.