Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Yesu akitumwa arudi leo, atajionea maajabu ya dunia. Wakristo wanatakiwa wawe watu wa hekima na busara sana. Mchungaji Kimaro ni mwanadamu kama Askofu Alex alivyo mwanadamu. Kuna aliekosea kuna aliepatia. Lakini Alex anaoperate kwenye mamlaka. Na hata iweje, mamlaka inapaswa kuheshimiwa.

Hata Mungu alijua umuhimu wa mamlaka akaagiza tuzitii hiyo haina mbadala. Katika familia mume, baba anaweza awe phaller flani lakini lazima heshima na adabu ziwepo maana haibadiliki..yeye ni baba. Mamlaka ina haki kubwa mbele za Mungu. I thought Christians tutakuwa better than this. I thought neno la Mungu lililohubiriwa kanisani hapo litakuwa limekuza watu kiimani kiasi cha kwamba hekima na busara zingekuwa zinafurika kwao.

Lakini matokeo ya leo..nimeona sisi waKristo kumbe bado sana. Yani tunaenda hzo Morning na Evening Glory kuombea shida zetu lakini si kubadilika kifikra na kukua kiimani. Tukirudi kwenye biblia, katika Matendo ya mitume, Paul, Petro walikamatwa na kuwekwa ndani mara ngapi?. Ni lini kanisa lilipanic likaenda kuvunja mlango wa Gereza?? Lini?? Zaidi sana kila wakiwekwa ndani either wao wafungwa ama kanisa liliomba kwa mzigo ili waachiwe. Na si tuliona milango ya gereza ikifunguka, tuliona chains zikidondoka. Ok tumuangalie Dorcas.

Dorcas alikufa ingali wale wajane wakiwa wanataka aendelee kuwa hai maana kawashonea sana kanzu na nguo mbalimbali. Lakini pale Orofani walibaki kulia tu..hakuna hata kuomba. Mpaka Petro akaja akaambiwa juu ya tukio akaenda akawakuta kule juu. Akawatimua nje wote. Petro akapiga magoti akaomba akamaliza akasimama akatamka Tabitha ondoka. Kuna kuomba hapa. Kuna faith hapa. Kuna declaration hapa. Kwenye issue serious kama hizi sio pa kupiga soga na kulia lia mitandaoni. Tunakuwa wakristo tantalila.

Wengne tunalaani mamlaka kana kwamba aliyeketi kwenye hicho kiti ni malaika. Neno linasema mtu wa kwenu akipatikana na mabaya na aombe. Haijasema kulalamika, laumu, chuki itatatua tatizo. Wengne wanampa uchizi mtumishi eti afungue Kanisa..hapo atakuwa amebugi kwa kiasi kikubwa sana.

Obedience ni jambo kubwa sana kwa mtumishi na mkristo yeyote. Ukiwa mtii automatically unakuwa mnyenyekevu. Yesu alijua hili ndo maana alikua mtii..wapi?? Tena kaja kufatwa akawekwe ndani na akatii. Mimi na wewe ingekua ndo Yesu si tungewapeperusha hao mandezi. Umewaponya, umewaombea na unawapenda afu wanakuja kukukamata. Wengne umewaosha na miguu.

Utii ni jambo muhimu sana kwa waKristo. Unajiita mKristo afu hutaki kuiga mfano wa your master...jitafakari upya, who you follow. Wanawake ndo wamenikosha. Nasikia leo hakukuwa na Ev. Glory kkkt kijitonyama. Wanazunguka na mabango bring back our Kimaro. Wengne wameanzisha na magroup kabisa. What are we?? Naona sisi ndo wale waGalatia waliohubiriwa nani katuroga jamani?? Kwaiyo tulikua tunamfata Kimaro..kwaiyo mtumishi akitwaliwa hatutaabudu??? Let us repent and Pray. Ukweli usimame..haki itendeke na mwisho Kanisa liendelee kuisambaza injili. Wisdom ni kipengele kwa wengi wetu. God forgive us!😓
 
Kwani nani asiyetii hapo? Mhusika ni Dr. Kimaro na ametii. Hao waumini achana nao. Wamepewa Mchungaji mpya nae apambane kama aliyemtangulia. Asante
 
kanisa ni moja tu: Katoliki la Mitume. uende ibadani usiende. uhudhurie jumuia usihudhurie. ukishakuwa Mkatoliki utaishi kwa amani sana.
Unaongelea roma ipi? Au unamuongelea roma msanii

Mambo yamebadilika sana
 
Okay, nimekusoma Mkuu. Mimi nina wasiwasi na watu wa karibu yake huenda walipenyeza umbea dayosisi wakidhani akiondoka sadaka zitabaki vile vile.
Kwani KKKT wana shirika ngapi mkuu??? Sadaka kwa kila jpili sidhani kama inapungua Mil 200 so hawaoni shida kumtoa kimaro ila Shida akiamua kuanzisha kanisa lake akahama na waumini ambao kimsingi watakuwa hawajitambui.. KKKT itasimama na haitatetereka kisa mtu mmoja yani tena waumini wanafiki kesho tu Watamsahau na watasonga mbele tupo hapa hii ni kama ile kesi ya Usharika wa mbeya. Kimaro awee mtii tu
 
Hii Kijitonyama KKKT si ndio walikuwa na album ile kali sana miaka ya 1990;
Akasema Eloi eloi, la masaba kitani - YAANI - Mungu wangux2 mbona umeniacha!!!

Nijaponena kwa lughaaaa - ya kuhamisha milimaaa, kama sinao upendoooo...
 
Kwa taarifa yako tu, Kimaro sasa hazungumzii habari za nyumba, mashamba wala Vacation abroad
1. Ana Mjengo wa maana huko TEGETA (ambako unaweza kupokea Wachungaji yapata 10 kwa mpigo);
2. Amesomesha watoto yatima zaidi ya 100 mpaka kufikia level za Vyuo Vikuu (baadhi wamehitimu Master degree);
3. Kwenda Nje ya nchi ni kitu cha kawaida kwake hata majuzi katoka huko akiwa na wazee wa kanisa na baadhi ya waumini (tiketi alilipiwa na waumini nje ya nchi)
KWa hiyo...!?
 
Semina iliyokuwa imeanza katika usharika wa KKKT Kijitonyama ikiongozwa na Rev Dr. Eliona Kimaro imelazimika kusimama kufuatia barua aliyopewa ya likizo ya siku 60 na kupelekea kushindwa kuendelea na semina hiyo.

Mchungaji Kimaro amesema anatumia fursa hiyo kuwaaga Washarika wake na kuanzia Januari 17 Mchungaji Anna ataendelea kuwa kiongozi wa Kanisa hilo.

Kwa mujibu wa barua, Mchungaji Kimaro atamaliza likizo yake ya lazima 17/03/2023 na barua inamuelekeza kuripoti makao makuu na sio usharika wa KKKT Kijitonyama ambapo atapangiwa sehemu nyingine.

Amesema:
"Mimi ni Mchungaji wa Lutheran ninayeheshimu kiapo changu cha kichungaji na kuishi katika kiapo changu cha kichungaji na maadili pia ya kichungaji kwa neema ya Mungu. Kwa sababu hiyo imenilazimu kutii amri na kwenda kwenye hiyo likizo ya siku 60 na baadae kuripoti kwenye ofisi ya Askofu kama nilivyoelekezwa" Asante.
Tuna waambia muachane na makanisa ya kitapeli hamsikii,viongozi wanawaza mpunga tu 😀😀🤣 na kukamua waumini

Karibuni mashahidi wa jehova huku 😊😊
 
Umaarufu mwenzie........

Ndio maana kuna mtumishi mmoja aliimba hivi, "UONGEZEKE YESU, UONGEZEKE SANA. MIMI NIPUNGUE, WEWE UONGEZEKE..."
 
Kwenye hili nahisi pastor Kimaro ataenda kujitafakari.

Mimi ni muumini wa KKKT hapo Kijitonyama, shida iliyokuwepo kwa mchungaji Kimaro ni kwamba alikuwa anaenda kinyume na utaratibu wa kanisa na kibaya zaidi alishaonywa zaidi ya mara 3 ila shida yake akiitwa akaonywa anakuja kanisani anaanza kuongea kwa waamini na kurusha vijembe kwa viongozi wake.

Tarehe 8 ukiweza fatilia alichokifanya kwa pastor mwenzake ANNA maneno aliyoongea kumuhusu huyo mchungaji kuna jambo utaelewa.

Kimaro ana kiburi cha umaarufu. Mchungaji hafati kalenda ya kanisa, yeye anafanya mambo yake, aliitwa akaonywa ila akaja kanisani hadharani na kusema hawezi kupangiwa cha kufanya ila Mungu tu, sasa hapo kweli kuna utii?

Kimaro toka amekuja usharikani anazo nyimbo 6 tu anazoimba kutoka kitabu cha tumwabudu Mungu wetu, aliitwa akaambiwa hiki kitu ila akawa mkaidi, ni mchungaji anayependa yeye aongee zaidi, hapendi kuwapa wachungaji wengine nafasi ya kuhubiri, ikitokea mchungaji mwingine akahubiri basi na yeye baada ya mahubiri atasimama na kuanza kujazilishia kuonekana kwamba mwenzake hajafanya kama inavyopaswa.

Ni kimaro na masai wa kimara ambao ukifatilia utaratibu wanao ufanya kanisani siyo wa KKKT ila najua wachache sana wataelewa hili.

Kama mtaweza kumbuka pia aliondolewa kwenye vipindi vya upendo Tv kisa mambo yake hayo ya kufanya kinyume na utaratibu wa kanisa ikabidi wamuonye ila akakaidi, baada ya kuondolewa alikuja kanisani hadharani na kuanza kusimanga na kuongea mbovu na tokea hapo hajawahi kutangaza kitu chochote kinacho husu upendo kama magazeti.

Alitamba sana kwamba kwa jinsi alivyo barikiwa na Mungu hakuna mwanadamu wa kumshusha hapo alipo, na haya alikua anaongea kanisani mbele ya waamini na kujitapa kabisa.

Kwa sisi waamini wachache ambao tulikua tunamuona kanisani na kutambua madhaifu yake tulijua hana mda mrefu atapigwa chini na kweli leo kaondoka.

Wengi mnaongea hamjui kilicho nyuma ya huyu kimaro ila nakuhakikishia KKKT KIJITONYAMA haiwezi kutetereka kisa kimaro kuondolewa na alishasema akitolewa Kjitonyama basi ataanzisha kanisa lake, ngoja nione atakachofanya baada ya hili.

Namuombea hekima na maarifa atambue kosa lake arudi kundini na awe mnyenyekevu kwa Mungu na Viongozi na Kanisa kwa ujumla.

ANAYEFATA NI MASAI WA KIMARA MWISHO.
Achaneni na makanisa ya kitapeli haya, viongozi wanawaza fitina na kulogana tu,kukamua sadaka za waumini
Haya madhehebu ni ushenzi tu

Watu wamekaa wakajianzishia vijitaasisi vya kupiga hela
😂😂
 
Umaarufu mwenzie........

Ndio maana kuna mtumishi mmoja aliimba hivi, "UONGEZEKE YESU, UONGEZEKE SANA. MIMI NIPUNGUE, WEWE UONGEZEKE..."
Kwa hio huko KKKT tu mchungaji akiwa maarufu tayari mnamuundia zengwe?ili asiwazidi wachungaji wenzake?

Ndio maana watu wanaanzisha makanisa yao binafsi
 
Tusisahau Kanisa ni Taasisi. Ina kanuni na maadili yake. Kama hivyo vitu havipo Taasisi hiyo haiwezi kusimama.

Dr Kimaro na Mchungaji mzuri tu Lakini kubwa, ni Binadamu. Sifa kubwa ya Binadamu ni mapungufu na kijisahau. Hata Musa alipotumwa na MUNGU akapige Mwamba Ili maji matamu yatoke Wana Israel wanywe, alifika akajisahau kuwa alipewa maelekezo ya ni Cha kusema na kufanya akaenda kujitukuza yeye. Matokeo yake hata Nchi ya ahadi aliyokuwa akupeleka watu hakuingia.

KKKT ni Taasisi Ina uongozi na miundo ya uongozi. Sio Kanisa la Mtu mmoja kama Kakobe. Am sure Kuna mahali taratibu na maadili yalikiukwa na hivyo ni budi taratibu zifuatwe kwani Kanisa Linaongozwa kwa Neno Lakini pia taratibu za kanuni zilizowekwa na kukubalika.
Dr Kimaro na Mchungaji mzuri tu Lakini kubwa, ni Binadamu. Sifa kubwa ya Binadamu ni mapungufu na kijisahau. Hata Musa alipotumwa na MUNGU akapige Mwamba Ili maji matamu yatoke Wana Israel wanywe, alifika akajisahau kuwa alipewa maelekezo ya ni Cha kusema na kufanya akaenda kujitukuza yeye. Matokeo yake hata Nchi ya ahadi aliyokuwa akupeleka watu hakuingia.[emoji817][emoji818]
 
Tunaenda kwa nabii mkuu saivi
 
Back
Top Bottom