Padre Joseph Kariuki siku za uhai wake
Padre wa Kanisa Katoliki Parokia ya Ruai, Nairobi, umri miaka 43, amefia gesti akiwa na ji binti la miaka 32
watu huwa tunajidanganya mtu wa miaka 40, 45, 49, eti bado nae anaitwa kijana...
haya vijana .... tujihadhari na kupenda sifa za "kupeleka moto"
halafu sijawahi kusikia demu ndio kafa, siku zote ni sisi ndio tunanyooka, kwa hiyo unapokuwa unapeleka moto kumbuka inawezekana wewe ndio unapelekewa moto na jidada
The Citizen