Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatafuta kick tuu na kujifurahishsHii habari mbona ni ya kitambo sana
Ndiyo UkweliUmeandika kishabiki sana!! Kweli sisi binaadamu wanafiki sana!
Kariuki?! Pande za Bukoba hizo au sio?View attachment 2843627
Padre Joseph Kariuki siku za uhai wake
Padre wa Kanisa Katoliki Parokia ya Ruai, Nairobi, umri miaka 43, amefia kitandani gesti akiwa na ji binti la miaka 32
watu huwa tunajidanganya mtu wa miaka 40, 45, 49, eti bado nae anaitwa kijana...
haya vijana .... tujihadhari na kupenda sifa za "kupeleka moto"
halafu sijawahi kusikia demu ndio kafa, siku zote ni sisi ndio tuna succumb, kwa hiyo unapokuwa unapeleka moto kumbumbuka inawezekana wewe ndio unapelekewa moto na jidada
The Citizen
Hii sentensi noma🤣🤣halafu sijawahi kusikia demu ndio kafa, siku zote ni sisi ndio tuna succumb, kwa hiyo unapokuwa unapeleka moto kumbumbuka inawezekana wewe ndio unapelekewa moto na jidada
May be story yako ni kweli, ila ulijuaje 🤔Huyu akalale mahali anapostahili.
Dar Kuna Padre mmoja RC wa maeneo ya TEGETA, BOKO, BUNJU, au tuseme Kinondoni, Ni mhaya. Huyu Padre anamla mmama wa kichaga MTU mzima, amempigisha katerero kitu ambacho mama wa kichaga hajawahi kukutana nacho katika ujana wake. Mmama wa kichaga kwa Mara ya kwanza haijali ndoa yake Tena.
Nikiwaona together Tena ntaleta picha na majina. Mapadre kumbukeni wajibu wenu.
Die with dignity.
Kufia kwenye nyapu ni kifo cha heshima sana.
Mwanaume unatakiwa ufie vitani ama ufie kwenye utamu, hayo maeneo mawili tu ndio maeneo ya heshima mwanaume akifa.
Mwanaume majukumu yake makubwa ni 2 tu, kupigana kulinda familia na nchi yake na kuchakata hizo vitu za wanawake.
Pumzika kwa aman brother. Vita umevipigana n mwendo umeumalizia mahala pazuri.