Mchungaji "kijana" afia gesti akila kondoo wake

But keep in mind that SEXIPIONAGE is real, sometimes these people are the victims of the targeted crimes. So, always be very careful and watchful, because most of these events are planned sexual entrapments through Sparrows (swallows ) or Ravens.
Unajijua kabisaa wewe ni shoti kwa mfumo fulani kandamizi.
Kutembeza bakora hovyo ni dalili ya kukosa akili
 
It depends.
Rejea comment yangu hapo juu.
Kumbuka: Hata Watumishi wa Mungu nao Wana maadui.
Baadhi ya watu wengi ambao wamekuwa victims wa matukio kama haya huwa wanakuwa "wahanga wa mitego," watu wengi katika jamii bado hawajui wala kushitukia kuhusu suala hili. Watu wengi wanaweza "kunaswa kiurahisi sana" endapo kama watategwa na 'mitego' ya aina hiyo bila kujali cheo, hadhi au umri wa mtu aliyetegwa.
Binadamu wote ni dhaifu kweny mitego ya kishetani.

Suala la kuomba Mungu tu maana hamna anayejua kesho yake...Maadili yapo ila binadamu hawezi kuwa perfect angalau anafuata kwa asilimia kubwa.
 
Na udhaifu huo huo ndio unaotumika sana na wapanga missions za maangamizi kwa maadui zao.Hii ndio njia inayopendwa zaidi kutumika karibu duniani kote tangu enzi na enzi, na hata watawala na watu mashuhuri kadhaa wameangushwa kwa kupitia njia hiyo.
 
View attachment 2843627
Padre Joseph Kariuki siku za uhai wake

Padre wa Kanisa Katoliki Parokia ya Ruai, Nairobi, umri miaka 43, amefia kitandani akiwa na ji binti la miaka 32

watu huwa tunajidanganya mtu wa miaka 40, 45, 49, eti bado nae anaitwa kijana...

haya vijana .... tujihadhari na kupenda sifa za "kupeleka moto"

halafu sijawahi kusikia demu ndio kafa, siku zote ni sisi ndio tuna succumb, kwa hiyo unapokuwa unapeleka moto kumbumbuka inawezekana wewe ndio unapelekewa moto na jidada

The Citizen
Isomwe na GENTAMYCINE mtetezi wa dhambi za mapadre
 
It depends.
Rejea comment yangu hapo juu.
Kumbuka: Hata Watumishi wa Mungu nao Wana maadui.
Baadhi ya watu wengi ambao wamekuwa victims wa matukio kama haya huwa wanakuwa "wahanga wa mitego," watu wengi katika jamii bado hawajui wala kushitukia kuhusu suala hili. Watu wengi wanaweza "kunaswa kiurahisi sana" endapo kama watategwa na 'mitego' ya aina hiyo bila kujali cheo, hadhi au umri wa mtu aliyetegwa.
Unakufaje kwenye huo mtego mkuu?
 
View attachment 2843627
Padre Joseph Kariuki siku za uhai wake

Padre wa Kanisa Katoliki Parokia ya Ruai, Nairobi, umri miaka 43, amefia kitandani akiwa na ji binti la miaka 32

watu huwa tunajidanganya mtu wa miaka 40, 45, 49, eti bado nae anaitwa kijana...

haya vijana .... tujihadhari na kupenda sifa za "kupeleka moto"

halafu sijawahi kusikia demu ndio kafa, siku zote ni sisi ndio tuna succumb, kwa hiyo unapokuwa unapeleka moto kumbumbuka inawezekana wewe ndio unapelekewa moto na jidada

The Citizen
Lengo ni kuzua taharuki,ishu ni ya July,na imo humu,
 
Attachments

  • Screenshot_20231216-074717~2.png
    Screenshot_20231216-074717~2.png
    576.5 KB · Views: 1
😃
Kafa kifo cha aibu sana mwamba.
Huyu akalale mahali anapostahili.
Dar Kuna Padre mmoja RC wa maeneo ya TEGETA, BOKO, BUNJU, au tuseme Kinondoni, Ni mhaya. Huyu Padre anamla mmama wa kichaga MTU mzima, amempigisha katerero kitu ambacho mama wa kichaga hajawahi kukutana nacho katika ujana wake. Mmama wa kichaga kwa Mara ya kwanza haijali ndoa yake Tena.
Nikiwaona together Tena ntaleta picha na majina. Mapadre kumbukeni wajibu wenu.
Lete Maneno.......
By JK

Hujapata Pictures Tu Ama Mpaka Mwaka Uishe
 
View attachment 2843627
Padre Joseph Kariuki siku za uhai wake

Padre wa Kanisa Katoliki Parokia ya Ruai, Nairobi, umri miaka 43, amefia kitandani akiwa na ji binti la miaka 32

watu huwa tunajidanganya mtu wa miaka 40, 45, 49, eti bado nae anaitwa kijana...

haya vijana .... tujihadhari na kupenda sifa za "kupeleka moto"

halafu sijawahi kusikia demu ndio kafa, siku zote ni sisi ndio tuna succumb, kwa hiyo unapokuwa unapeleka moto kumbumbuka inawezekana wewe ndio unapelekewa moto na jidada

The Citizen
Picha ya ji binti tafadhali
 
Huyu akalale mahali anapostahili.
Dar Kuna Padre mmoja RC wa maeneo ya TEGETA, BOKO, BUNJU, au tuseme Kinondoni, Ni mhaya. Huyu Padre anamla mmama wa kichaga MTU mzima, amempigisha katerero kitu ambacho mama wa kichaga hajawahi kukutana nacho katika ujana wake. Mmama wa kichaga kwa Mara ya kwanza haijali ndoa yake Tena.
Nikiwaona together Tena ntaleta picha na majina. Mapadre kumbukeni wajibu wenu.
Kwenye maelezo yako kuna katerero alafu unamlaumu mama wa kichaga! Badala umuombee mana aspokuwa makin kuna wanaopararaizi kabsa!
Hasa akiruhusu neva zote kuitikia beat.
Unaijua kachabari wewe! Na hapo ni padre tu aliyetumia ujana wake kwenye mgalala zaid.
Cha kufanya mama ale sana bamia, matango, nyanyachungu kijani, magome ya mfenes, ndizi chuku, mchicha/maboga, mtindi, nsanyuse, vacado.
La sivyo anaenda kukauka hadi ute wa joints😀
 
Back
Top Bottom