Mchungaji "kijana" afia gesti akila kondoo wake

But keep in mind that SEXIPIONAGE is real, sometimes these people are the victims of the targeted crimes. So, always be very careful and watchful, because most of these events are planned sexual entrapments through Sparrows (swallows ) or Ravens.
Unajijua kabisaa wewe ni shoti kwa mfumo fulani kandamizi.
Kutembeza bakora hovyo ni dalili ya kukosa akili
 
Binadamu wote ni dhaifu kweny mitego ya kishetani.

Suala la kuomba Mungu tu maana hamna anayejua kesho yake...Maadili yapo ila binadamu hawezi kuwa perfect angalau anafuata kwa asilimia kubwa.
 
Binadamu wote ni dhaifu kweny mitego ya kishetani.

Suala la kuomba Mungu tu maana hamna anayejua kesho yake...Maadili yapo ila binadamu hawezi kuwa perfect angalau anafuata kwa asilimia kubwa.
Na udhaifu huo huo ndio unaotumika sana na wapanga missions za maangamizi kwa maadui zao.Hii ndio njia inayopendwa zaidi kutumika karibu duniani kote tangu enzi na enzi, na hata watawala na watu mashuhuri kadhaa wameangushwa kwa kupitia njia hiyo.
 
Isomwe na GENTAMYCINE mtetezi wa dhambi za mapadre
 
Unakufaje kwenye huo mtego mkuu?
 
Lengo ni kuzua taharuki,ishu ni ya July,na imo humu,
 

Attachments

  • Screenshot_20231216-074717~2.png
    576.5 KB · Views: 1
๐Ÿ˜ƒ
Kafa kifo cha aibu sana mwamba.
Lete Maneno.......
By JK



Hujapata Pictures Tu Ama Mpaka Mwaka Uishe
 
Picha ya ji binti tafadhali
 
Kwenye maelezo yako kuna katerero alafu unamlaumu mama wa kichaga! Badala umuombee mana aspokuwa makin kuna wanaopararaizi kabsa!
Hasa akiruhusu neva zote kuitikia beat.
Unaijua kachabari wewe! Na hapo ni padre tu aliyetumia ujana wake kwenye mgalala zaid.
Cha kufanya mama ale sana bamia, matango, nyanyachungu kijani, magome ya mfenes, ndizi chuku, mchicha/maboga, mtindi, nsanyuse, vacado.
La sivyo anaenda kukauka hadi ute wa joints๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ