Mchungaji "kijana" afia gesti akila kondoo wake

🤣🤣🤣
 
Ya siku nyingi sana hii habari. Acha uchochezi
 
But keep in mind that SEXIPIONAGE is real, sometimes these people are the victims of the targeted crimes. So, always be very careful and watchful, because most of these events are planned sexual entrapments through Sparrows (swallows ) or Ravens.
Wrong conception,100% of men reported died in guest houses after having sexual intercourse,heart attack has been reported as a main cause to their death,and Viagra pills has always being attributed to their fate.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na udhaifu huo huo ndio unaotumika sana na wapanga missions za maangamizi kwa maadui zao.Hii ndio njia inayopendwa zaidi kutumika karibu duniani kote tangu enzi na enzi, na hata watawala na watu mashuhuri kadhaa wameangushwa kwa kupitia njia hiyo.
Sometym sio missions wala nini...wamezidi kuna watumishi wa Mungu ni wazinzi mmno mnoo tena wanapenda wake za watu..
 
Lengo ni kuzua taharuki,ishu ni ya July,na imo humu,
Anhaa, kumbe habari ni ya kweli, tatizo ni ya July....lakini bado tuna ya kujifunza ndani yake, sio ? Physics uliyojifunza shule unadhani ni habari ya jana ?

UKweli unabaki kuwa

1/ ngono ni kazi hatari, sijasikia mtu kafa akibeba zege, ambalo hupondwa siku nzima

2 / "kijana" wa miaka 43 kumbe nae pia mwili ushachoka! Ndio maana unauliwa na zoezi la dakika 10.

3/ anaekuwa consumed kwenye zoezi lile ni wewe mwanamme. Jidada anavyozidi kuguna ndio anavyozidi kukupelekea moto wewe! Twende taratibu. Kwa saab hata kama huja drop dead pale pale gesti inawezekana hizo raised blood pressure zinatuua taratibu.
 
Sometym sio missions wala nini...wamezidi kuna watumishi wa Mungu ni wazinzi mmno mnoo tena wanapenda wake za watu..
Ndio maana ktk reply yangu ya hapo mwanzo kwenye uzi huu nilisema kwamba "hata Watumishi wa Mungu nao Wana maadui."
Hao wanaume ambao wamekuwa wakiporwa ama kuchukuliwa wake zao ndio ambao wamekuwa wakiwategea 'mitego ya kifo' hao watumishi wa Mungu. Kama tujuavyo "mke wa mtu sumu."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…