Mchungaji "kijana" afia gesti akila kondoo wake

Aliyewaambia kuwa Kila anayeitwa Padre sharti asioe ndo anaharibu,

Watumishi wa Mungu iwe hiari Kuoa au Kutooa.
 
Kariuki?! Pande za Bukoba hizo au sio?
 
halafu sijawahi kusikia demu ndio kafa, siku zote ni sisi ndio tuna succumb, kwa hiyo unapokuwa unapeleka moto kumbumbuka inawezekana wewe ndio unapelekewa moto na jidada
Hii sentensi noma🤣🤣
 
May be story yako ni kweli, ila ulijuaje 🤔
 
Amekufa kizembe sana.
Na ameonesha rangi yake halisi ya umalaya.
Si bora angekuwa mlei angeoa kabisa.
 
Ila mbususu haijawa muacha mwanaume bila kutanga, ndiyo maana kuna andiko linasema ombeni msiingie majaribuni [emoji1787][emoji1787]
 

The evil genius Katika harakati zako za kusambaza evil stuff [emoji3166]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…