Kwahiyo anaamini katika Sayansi na siyo biblia ?Wewe unajua Adam aliishi wapi?
Anyway mchungaji amesema " hata" sayansi inaamini binadamu wa kwanza aliishi Tanzania!
Kumbe wale watu walikuwa nyani?sema nyani wa kwanza wanaodai wapumbavu wachache kama Kina darwin na Louis ndiyo aliishi Tanzania ila sio Adam
Ndo ivyo , mchungaji katipika kabisaKwa hiyo mchungaji alikuwa anafundisha Scientific findings badala biblia ?
hamnaga upotoshaji kwenye ukweli
Nimemnukuu mchungaji Kimaro kama alivyohubiri.Usiwe kigeu geu.
Kuna post umesema Waafrika hawafi kwa corona ambayo ni mafua tu.
Sasa nini kimekugeuza kuamini kuwa Kimaro anatabiri ukweli?
Umeambiwa " Binadamu " wa kwanza uwe unaelewa bwashee!
Wewe unadhani waisrael ni wahindi?Wazungu ndo WA Israel?
Israel ipo Ulaya?
Hebu nipe info alikana nini niliifuatilia hii ishu alipotoa ushuhuda kua walimuokota baada ya kupigwa na kuibiwa helaHuyu nilimdharau toka alipokana aliyoyaongea mwenyewe kuhusu yule kijana aliyetekwa na kuuawa
Kwani kabla ya Corona watu walikuwa wanakufa huku wanapumua?Halafu kesho Askofu huyo huyo utasikia amekufa kwa matatizo ya kupumua.
Nilikuwa sijajuwa sasa Adam alikuwa mkoa gani jamani tujidai kidogo.Binadamu wa kwanza si Adam huyo mchungaji nani alimpotosha ya kwamba mwanadamu wa kwanza aliishi Tanzania??
Unaposema ni uongo basi ni jukumu lako kuweka ukweli wenyewe.Ndivyo ilivyo otherwise we ni mjinga.Fake Pastor.
Eti kwa mujibu wa Biblia. Kitabu gani? sura gani? mstari gani?
Unajua bro, unafiki si mzuri!Nimemnukuu mchungaji Kimaro kama alivyohubiri.
Wapi nilipoweka my take ?
Yule kijana hakutekwa na kuuawa bali alijinyonga mwenyewe!Huyu nilimdharau toka alipokana aliyoyaongea mwenyewe kuhusu yule kijana aliyetekwa na kuuawa
Corona ni mafua au wewe unadhani ni kipindupindu?Unajua bro, unafiki si mzuri!
Kusema tu Afrika itaponywa kwanza Ni kwamba anakiri uwepo wa korona. Na ipo lazima kuna watakaougua.Kwani kabla ya Corona watu walikuwa wanakufa huku wanapumua?
Ndio.Binadamu wa kwanza si Adam huyo mchungaji nani alimpotosha ya kwamba mwanadamu wa kwanza aliishi Tanzania??