Mchungaji Kimaro: Afrika itakuwa ya kwanza kupona Corona itafuatiwa na Asia na wa mwisho watakuwa Israel (Wazungu)

Mchungaji Kimaro: Afrika itakuwa ya kwanza kupona Corona itafuatiwa na Asia na wa mwisho watakuwa Israel (Wazungu)

Huyu nilimdharau toka alipokana aliyoyaongea mwenyewe kuhusu yule kijana aliyetekwa na kuuawa
Hebu nipe info alikana nini niliifuatilia hii ishu alipotoa ushuhuda kua walimuokota baada ya kupigwa na kuibiwa hela
 
Kwani kabla ya Corona watu walikuwa wanakufa huku wanapumua?
Kusema tu Afrika itaponywa kwanza Ni kwamba anakiri uwepo wa korona. Na ipo lazima kuna watakaougua.

Na hakuna mahali amesema yeye ana kinga ya kutopatwa korana au hawezi kufa kwa korona.
 
Back
Top Bottom