Mchungaji Kimaro: Afrika itakuwa ya kwanza kupona Corona itafuatiwa na Asia na wa mwisho watakuwa Israel (Wazungu)

Mchungaji Kimaro: Afrika itakuwa ya kwanza kupona Corona itafuatiwa na Asia na wa mwisho watakuwa Israel (Wazungu)

Kutokana na recent scientific findings binadamu wa kwanza Ni kweli aliishi Tanzania.
Huyo Mchungaji hasomi Biblia. Biblia inatamka wazi ya kwamba Mungu alimuumba Adam kisha Hawa akawaweka katika bustani ya Edeni na katika bustani hiyo kulikuwako na mto uliogawanyika mara nne kwa maana Pishon,Flat na mingine miwili.Na mito hii hata Leo ni mito halisi na haiko Tanzania.

Hii maana yake ni kwamba kwa Mujibu wa Biblia (Anayo itumia kuhubiri ndugu mchungaji) Binadamu wa kwanza hakuishi Tanzania. Tusijikombe kupita kiasi.
 
Kimaro amepata umaarufu sasa anaanza kuwa kama mzee wa upako. Soon ana kwenda kuaibishwa na Mungu. Aache siasa ahudumu kama mtumishi
Wanaitumia sayansi kusapoti mahubiri yao wanapoona kuna upenyo wa kufiisha ujumbe wao lakini hawaiamni hiyo sayansi inavyosema kuhusu hawa virus
 
Huyo Mchungaji hasomi Biblia. Biblia inatamka wazi ya kwamba Mungu alimuumba Adam kisha Hawa akawaweka katika bustani ya Hedeni na katika bustani hiyo kulikuwako na mto uliogawanyika mara nne kwa maana Pishon,Flat na mingine miwili.Na mito hii hata Leo ni mito halisi na haiko Tanzania.

Hii maana yake ni kwamba kwa Mujibu wa Biblia (Anayo itumia kuhubiri ndugu mchungaji) Binadamu wa kwanza hakuishi Tanzania. Tusijikombe kupita kiasi.
Ni bustani ya Eden na siyo Hedeni. Mengine yako saa.
 
Mengine yako sawa na siyo Saa
Tofauti yangu na wewe: Mimi ni kosa la typo. Wewe ni kosa la kutojua kuandika jina la Eden. Una ile ile tabia ya wabongo wengi. Ubishi na kutotaka kukosolewa unapofanya kosa. Niulize nimejuaje kuwa hujui kuandika nitakujibu kama una nia ya kuelimika.
 
Binadamu wa kwanza si Adam huyo mchungaji nani alimpotosha ya kwamba mwanadamu wa kwanza aliishi Tanzania??
Mkuu
Acha Punic Watu Wanakwenda Na Upepo Kwani Hujui Walio Kwenye Madaraka Wanataka Nini?
 
Kama ya haya mchungaji basi jina lake litahimidiwa,lakini je sayansi anakubalina nayo au la.
Mchungaji wa KKKT Kijitonyama Dr Kimaro amesema kwa mujibu wa maandiko ya Biblia Mungu alishaitangazia uponyaji wa kwanza Afrika yanapotokea maradhi ya kiulimwengu kama Corona...
 
Back
Top Bottom