dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Mpumbaf huyo jamaaSijui unaweza kutuambia ulikoyatoa haya yote ndugu wakala wa shetani.
Au ni ufahamu wako binafsi?
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpumbaf huyo jamaaSijui unaweza kutuambia ulikoyatoa haya yote ndugu wakala wa shetani.
Au ni ufahamu wako binafsi?
Kawaulize mwenyewe nimeona kivuli cha kadi yako ya uanachama kule.Mtoto wa mwenyekiti ilikuwaje hapo Ufipa?
Binadamu wa kwanza si Adam huyo mchungaji nani alimpotosha ya kwamba mwanadamu wa kwanza aliishi Tanzania??
Sijui unaweza kutuambia ulikoyatoa haya yote ndugu wakala wa shetani.
Au ni ufahamu wako binafsi?
Nilijua tu This is... atapata shida kwa johnthebaptist. Wa kwanza ni thinker na wa pili ni talker. Anaahidi jioni kusikiliza mchungaji tena apate mistari ya biblia! Anajua kuongea hajui kufikiri. Hata jinsia yake jf haifahamiki. Sijui ni mama/baba pekupeku. Asione au kusikia neno, tayari uzi. Ananukuu wazungu=israel. Kukimbilia jf na chochote!Hakuna anayebisha kuwa mafua ya Covid 19 hayapo!
Binadamu wa kwenye histori... Sokwe..Binadamu wa kwanza si Adam huyo mchungaji nani alimpotosha ya kwamba mwanadamu wa kwanza aliishi Tanzania??
Adam aliishi wapi?Binadamu wa kwanza si Adam huyo mchungaji nani alimpotosha ya kwamba mwanadamu wa kwanza aliishi Tanzania??
Adamu ni binadamu wa Kwanza, kabla yake walikuwepo viumbe wengine ambao sio binadamu japo wanafana na binadamu!!!Nawe
nani kakupotosha kwamba binadamu (mtu) wa kwanza kuwepo duniani ni Adamu???Nawe nani kakupotosha kwamba binadamu (mtu) wa kwanza kuwepo duniani ni Adamu???
Eden lini imekuwa Tanzania,sayansi na dini ni vitu toofauti sana asichanganyeWewe unajua Adam aliishi wapi?
Anyway mchungaji amesema " hata" sayansi inaamini binadamu wa kwanza aliishi Tanzania!
Mchungaji wa KKKT Kijitonyama Dr Kimaro amesema kwa mujibu wa maandiko ya Biblia Mungu alishaitangazia uponyaji wa kwanza Afrika yanapotokea maradhi ya kiulimwengu kama Corona.
Hivyo kwa mujibu wa Biblia Afrika itapona ya kwanza, itafuatiwa na Asia na mwisho watakuwa Israel kwa maana ya waxungu wa Ulaya na Marekani amesema mchungaji.
Mchungaji Kimaro amefanya maombi maalumu ya kuliepusha taifa kutoka janga la Corona na ameahidi Tanzania itakuwa kimbilio la dunia nzima kwani hata sayansi inaitambua Tanzania kama ni nchi na ardhi aliyoishi binadamu wa kwanza katika uso wa dunia.
Source Upendo tv
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Adam aliishi kwenye bustani ya Eden, ambayo iko Iraq!! Ndiko iliko mito iliyokuwa inaimwagilia bustani.Adam aliishi wapi?
Adam aliishi wapiBinadamu wa kwanza si Adam huyo mchungaji nani alimpotosha ya kwamba mwanadamu wa kwanza aliishi Tanzania??
Adamu ni binadamu wa Kwanza, kabla yake walikuwepo viumbe wengine ambao sio binadamu japo wanafana na binadamu!!!
Huyu naye anachemka,matatizo huwezi kutatua kwa maombi pekee,inabidi ufanye kazi,hapo kanisani Kwake lazima Kuna vijana hawana ajira,apige "maombi" wapate ajira.Mchungaji wa KKKT Kijitonyama Dr Kimaro amesema kwa mujibu wa maandiko ya Biblia Mungu alishaitangazia uponyaji wa kwanza Afrika yanapotokea maradhi ya kiulimwengu kama Corona.
Hivyo kwa mujibu wa Biblia Afrika itapona ya kwanza, itafuatiwa na Asia na mwisho watakuwa Israel kwa maana ya waxungu wa Ulaya na Marekani amesema mchungaji.
Mchungaji Kimaro amefanya maombi maalumu ya kuliepusha taifa kutoka janga la Corona na ameahidi Tanzania itakuwa kimbilio la dunia nzima kwani hata sayansi inaitambua Tanzania kama ni nchi na ardhi aliyoishi binadamu wa kwanza katika uso wa dunia.
Source Upendo tv
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Hiyo sayansi inayosema binadamu ametokana na sokwe?Wewe unajua Adam aliishi wapi?
Anyway mchungaji amesema " hata" sayansi inaamini binadamu wa kwanza aliishi Tanzania!
Mpaka huu ugonjwa uishe tutakua tumeshuhudia na kusikia mengiMchungaji wa KKKT Kijitonyama Dr Kimaro amesema kwa mujibu wa maandiko ya Biblia Mungu alishaitangazia uponyaji wa kwanza Afrika yanapotokea maradhi ya kiulimwengu kama Corona.
Hivyo kwa mujibu wa Biblia Afrika itapona ya kwanza, itafuatiwa na Asia na mwisho watakuwa Israel kwa maana ya waxungu wa Ulaya na Marekani amesema mchungaji.
Mchungaji Kimaro amefanya maombi maalumu ya kuliepusha taifa kutoka janga la Corona na ameahidi Tanzania itakuwa kimbilio la dunia nzima kwani hata sayansi inaitambua Tanzania kama ni nchi na ardhi aliyoishi binadamu wa kwanza katika uso wa dunia.
Source Upendo tv
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Hiyo hiyo!Hiyo sayansi inayosema binadamu ametokana na sokwe?
Ahsante bwashee!View attachment 1696983
Israel hawafi tena unachezea watoto wa Mungu