Mchungaji Kimaro: Afrika itakuwa ya kwanza kupona Corona itafuatiwa na Asia na wa mwisho watakuwa Israel (Wazungu)

Kusema tu Afrika itaponywa kwanza Ni kwamba anakiri uwepo wa korona. Na ipo lazima kuna watakaougua.

Na hakuna mahali amesema yeye ana kinga ya kutopatwa korana au hawezi kufa kwa korona.
Hakuna anayebisha kuwa mafua ya Covid 19 hayapo!
 
Kimaro amepata umaarufu sasa anaanza kuwa kama mzee wa upako. Soon ana kwenda kuaibishwa na Mungu. Aache siasa ahudumu kama mtumishi
Mungu kupitia yule muuza chipsi aliyejinyonga na huyu mchungaji kushikilia bango kuna kitu alimkumbusha na ameshajisahau tena.. Naona kwa kungengeuka kwake na kuendelea kuitafuta sifa ya kibinadamu anaenda kupokea sawasawa na matendo yake.
 
Korona siame imaliza jiwe?na miibada ya shukrani ilifanyika na waimba pambio huko Lumumba walikuwa mstari wa mbele kama kawaida leo mnaombea Korona itoke ipi? tena wanayoombea

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Unaposema ni uongo basi ni jukumu lako kuweka ukweli wenyewe.Ndivyo ilivyo otherwise we ni mjinga.
Alete reference.
Yesu na ujuzi wote aliokuwa nao kila mara alikuwa akisema: "Imeandikwa...." kisha ananukuu mstari wa Biblia. Hivyo hatukubali kila kitu kisa mchungaji amesema. Imeandikwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…