Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Naye muda si mrefu atageuka na kuanza mipasho/komedi kama mch. Mugogo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachungaji wa kiafrika kwa kurukia mambo yasiyowahusu hawajamboWazungu ndo WA Israel?
Israel ipo Ulaya?
Nafikiri ni utapiamlo.Corona ni mafua au wewe unadhani ni kipindupindu?
Hakuna anayebisha kuwa mafua ya Covid 19 hayapo!Kusema tu Afrika itaponywa kwanza Ni kwamba anakiri uwepo wa korona. Na ipo lazima kuna watakaougua.
Na hakuna mahali amesema yeye ana kinga ya kutopatwa korana au hawezi kufa kwa korona.
Kula vizuri tu bwashee ndio kinga barakoa haizuii utapiamlo!Nafikiri ni utapiamlo.
Wewe unajua Adam aliishi wapi?
Anyway mchungaji amesema " hata" sayansi inaamini binadamu wa kwanza aliishi Tanzania!
Kutokana na recent scientific findings binadamu wa kwanza Ni kweli aliishi Tanzania.
Kwamba tu wewe ni mwafrika umeshapokea uponyaji siyo lazima uende kanisani kwa baba askofu Mwamakula!Ndio maana siku hizi nimepuuza kwenda kanisani kwa hao matapeli wawinda sadaka.
Kwamba tu wewe ni mwafrika umeshapokea uponyaji siyo lazima uende kanisani kwa baba askofu Mwamakula!
Mungu kupitia yule muuza chipsi aliyejinyonga na huyu mchungaji kushikilia bango kuna kitu alimkumbusha na ameshajisahau tena.. Naona kwa kungengeuka kwake na kuendelea kuitafuta sifa ya kibinadamu anaenda kupokea sawasawa na matendo yake.Kimaro amepata umaarufu sasa anaanza kuwa kama mzee wa upako. Soon ana kwenda kuaibishwa na Mungu. Aache siasa ahudumu kama mtumishi
Maana yake mafundisho ya leo yalikuwa hopeless kabisa
Hakuna aliyewahi kuthibitisha kuwa mbinguni ni juuNi upotoshaji uliogeuzwa kuwa uonekane "ukweli", mfano upotoshaji wa kwamba Yesu yupo juu mbinguni ni upotoshaji uliofanywa kuwa uonekane "ukweli".
Kutokana na recent scientific findings binadamu wa kwanza Ni kweli aliishi Tanzania.
Lakini huo ugunduzi haujasema kuwa huyo NI adamWewe unajua Adam aliishi wapi?
Anyway mchungaji amesema " hata" sayansi inaamini binadamu wa kwanza aliishi Tanzania!
Israel ni SemitesWewe unadhani waisrael ni wahindi?
Korona siame imaliza jiwe?na miibada ya shukrani ilifanyika na waimba pambio huko Lumumba walikuwa mstari wa mbele kama kawaida leo mnaombea Korona itoke ipi? tena wanayoombeaMchungaji wa KKKT Kijitonyama Dr Kimaro amesema kwa mujibu wa maandiko ya Biblia Mungu alishaitangazia uponyaji wa kwanza Afrika yanapotokea maradhi ya kiulimwengu kama Corona.
Hivyo kwa mujibu wa Biblia Afrika itapona ya kwanza, itafuatiwa na Asia na mwisho watakuwa Israel kwa maana ya waxungu wa Ulaya na Marekani amesema mchungaji.
Mchungaji Kimaro amefanya maombi maalumu ya kuliepusha taifa kutoka janga la Corona na ameahidi Tanzania itakuwa kimbilio la dunia nzima kwani hata sayansi inaitambua Tanzania kama ni nchi na ardhi aliyoishi binadamu wa kwanza katika uso wa dunia.
Source Upendo tv
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Sasa hivi amekuwa mtumwa wa jiwe kila anachohubiri lazima ahusishe jiweKimaro amepata umaarufu sasa anaanza kuwa kama mzee wa upako. Soon ana kwenda kuaibishwa na Mungu. Aache siasa ahudumu kama mtumishi
Alete reference.Unaposema ni uongo basi ni jukumu lako kuweka ukweli wenyewe.Ndivyo ilivyo otherwise we ni mjinga.
Adam ndio Zinja kwa taarifa yako na edeni ni OlduvaiBinadamu wa kwanza si Adam huyo mchungaji nani alimpotosha ya kwamba mwanadamu wa kwanza aliishi Tanzania??
Mijitu myeusi ni toleo la mwisho kwenye uumbaji ndio maana haijui inachoongeaUsiwe kigeu geu.
Kuna post umesema Waafrika hawafi kwa corona ambayo ni mafua tu.
Sasa nini kimekugeuza kuamini kuwa Kimaro anatabiri ukweli?