Lete ukweliNi upotoshaji uliogeuzwa kuwa uonekane "ukweli", mfano upotoshaji wa kwamba Yesu yupo juu mbinguni ni upotoshaji uliofanywa kuwa uonekane "ukweli".
Unapingana na mungu wako jiweHakuna anayebisha kuwa mafua ya Covid 19 hayapo!
Huyo ni mchungaji au ni mjasiriamali?Binadamu wa kwanza si Adam huyo mchungaji nani alimpotosha ya kwamba mwanadamu wa kwanza aliishi Tanzania??
Hakuna mchungaji hapo kuna mjasiriamali kama akina BashiteKwa hiyo mchungaji alikuwa anafundisha Scientific findings badala biblia ?
Huyo Mchungaji hasomi Biblia. Biblia inatamka wazi ya kwamba Mungu alimuumba Adam kisha Hawa akawaweka katika bustani ya Edeni na katika bustani hiyo kulikuwako na mto uliogawanyika mara nne kwa maana Pishon,Flat na mingine miwili.Na mito hii hata Leo ni mito halisi na haiko Tanzania.Kutokana na recent scientific findings binadamu wa kwanza Ni kweli aliishi Tanzania.
Wanaitumia sayansi kusapoti mahubiri yao wanapoona kuna upenyo wa kufiisha ujumbe wao lakini hawaiamni hiyo sayansi inavyosema kuhusu hawa virusKimaro amepata umaarufu sasa anaanza kuwa kama mzee wa upako. Soon ana kwenda kuaibishwa na Mungu. Aache siasa ahudumu kama mtumishi
Ni bustani ya Eden na siyo Hedeni. Mengine yako saa.Huyo Mchungaji hasomi Biblia. Biblia inatamka wazi ya kwamba Mungu alimuumba Adam kisha Hawa akawaweka katika bustani ya Hedeni na katika bustani hiyo kulikuwako na mto uliogawanyika mara nne kwa maana Pishon,Flat na mingine miwili.Na mito hii hata Leo ni mito halisi na haiko Tanzania.
Hii maana yake ni kwamba kwa Mujibu wa Biblia (Anayo itumia kuhubiri ndugu mchungaji) Binadamu wa kwanza hakuishi Tanzania. Tusijikombe kupita kiasi.
Mengine yako sawa na siyo Saa.Asante kwa marekebisho.Rekebisha hapo pia.Ni bustani ya Eden na siyo Hedeni. Mengine yako saa.
Tofauti yangu na wewe: Mimi ni kosa la typo. Wewe ni kosa la kutojua kuandika jina la Eden. Una ile ile tabia ya wabongo wengi. Ubishi na kutotaka kukosolewa unapofanya kosa. Niulize nimejuaje kuwa hujui kuandika nitakujibu kama una nia ya kuelimika.Mengine yako sawa na siyo Saa
Binadamu yupi huyo wa zama damuWewe unajua Adam aliishi wapi?
Anyway mchungaji amesema " hata" sayansi inaamini binadamu wa kwanza aliishi Tanzania!
Hamna lolote!Mchungaji wa KKKT Kijitonyama Dr Kimaro amesema kwa mujibu wa maandiko ya Biblia Mungu alishaitangazia uponyaji wa kwanza Afrika yanapotokea maradhi ya kiulimwengu kama Corona....
Dunia yote inakiri kwa fuvu la mtu wa kale lilipatikana Tanzania na Hugo ndo Adam.Binadamu wa kwanza si Adam huyo mchungaji nani alimpotosha ya kwamba mwanadamu wa kwanza aliishi Tanzania??
MkuuBinadamu wa kwanza si Adam huyo mchungaji nani alimpotosha ya kwamba mwanadamu wa kwanza aliishi Tanzania??
Mwanzo Wa Ngoma Ni Lelelee!!Wanaanza hivi hivi mwisho wanaenda kugombea ubunge.
Nimecheka sana hii commentWanaanza hivi hivi mwisho wanaenda kugombea ubunge.
Atakuwa aliishi pale chato juuBinadamu wa kwanza si Adam huyo mchungaji nani alimpotosha ya kwamba mwanadamu wa kwanza aliishi Tanzania??
Aliishi Singida!Atakuwa aliishi pale chato juu
Mchungaji wa KKKT Kijitonyama Dr Kimaro amesema kwa mujibu wa maandiko ya Biblia Mungu alishaitangazia uponyaji wa kwanza Afrika yanapotokea maradhi ya kiulimwengu kama Corona...
Adam wa chato labdaAdam ndio Zinja kwa taarifa yako na edeni ni Olduvai