Mchungaji Kimaro: Afrika itakuwa ya kwanza kupona Corona itafuatiwa na Asia na wa mwisho watakuwa Israel (Wazungu)

Biblia inasema Mungu akasema " na tufanye mtu kwa mfano wetu"


Tufanye mtu kwa mfano wetu na sio tuumbe Adam awe mtu wa kwanza.

Adam ndiye aliyekuwa mtu wa kwanza kufanywa mfano wa Mungu, yaani yeye ndiye aliyefanywa na Mungu kuwa wa kwanza kuonyesha njia za Mungu kwa watu wengine katika zama zake, ndiyo maana ya kufanya, tofautisha kati ya kufanya/kufanywa na kuumba/kuumbwa.

Kwa kiarabu ni rahisi, fanya ni (ja'la) na kuumba ni (khalaqa).

Hivyo kauli hiyo ya Biblia ni sahihi kabisa na inafanana katika maana na kauli ya Qur'an inayotaka watu tujipake rangi ya Mwenyezi mungu, yaani tuwe na tudhihirishe sifa za Mungu katika maisha yetu hapa duniani hiyo ndiyo maana ya kufanywa kuwa mfano wa Mungu na si vinginevyo.
 
Amefikia level ya kufikiri ya ccm,inapoteza kipawa chake polepole kwa kuwazia tumbo lake
 
Nimekuelewa sana bwashee!
 
KUHUBIRI ni kazi sana......unahubiria watu waliokuzidi elimu.......niliifuatilia hiyo ibada...Yani unaona kabisa Kuna maneno waumini hawayakubali.....ila ni mchungaji mzuri hachoshi.
 
Mchungaji anatafuta ulaji
 
Sijui anatumia biblia gani inayosem Adam aliishi Tanzania Olduvai Gorge


Hihihihihihihihihihihihi njaaa mbaya
 
Waambieni hao watumishi wa Mungu waiishi biblia, ujanja ujanja utawaondolea upako.
Huyu sio mchungaji tena ni mchumia tumbo,aliingia kwenye uchungaji kujali tumbo lake....ukiona mchungaji au shehe anaongea kiccm jua huyo ni mchumia tumbo
 
Kwa mujibu wa Biblia Malaria itaisha Afrika..., au bado haijasema ?
 
KUHUBIRI ni kazi sana......unahubiria watu waliokuzidi elimu.......niliifuatilia hiyo ibada...Yani unaona kabisa Kuna maneno waumini hawayakubali.....ila ni mchungaji mzuri hachoshi.
This Sunday walinipa surprise nihubiri. Nikajua wanajaribu kupima uelewa wangu wa Bible. Nilihubiri.

Ukipata nafasi kama hiyo waambie watu maneno ya Mungu.

Mifano itoke kwenye Biblia.

Hawa wachungaji wanaona kama neno la Mungu ni kitu simple sana.

Imagine humo church wapo wasomo sana, wewe unawaambia vitu ambavyo they know it's impossible.

Tena huyu huyu Mchungaji ndo alikataa kuwa hakuna kunena kwa lugha. He will know kuwa Roho Mtakatifu hachokozwi, atamshughulikia mpaka ashangae.
 
Amelewa sifa

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe unajua Adam aliishi wapi?

Anyway mchungaji amesema " hata" sayansi inaamini binadamu wa kwanza aliishi Tanzania!
Jifunze kutofautisha binadamu wa kale said kugundulika na binadam wa Kwanza ww unasema ivo unajua mito mitano inayotajwa kwa vitabu ilioingia Eden ipo arabun inakoaminika ndo Eden alipoish Adam ???
 
Jifunze kutofautisha binadamu wa kale said kugundulika na binadam wa Kwanza ww unasema ivo unajua mito mitano inayotajwa kwa vitabu ilioingia Eden ipo arabun inakoaminika ndo Eden alipoish Adam ???
Eden ni kipande fulani cha Uganda na sehemu kubwa ya Tanzania kuishia Singida!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…