Mchungaji Kimaro amelewa urafiki wake na matajiri

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Wasalaam JF,

Hekima na busara ni speed governor ya kuzuia kuropoka na kufoka, dhana ya matajiri na maskini ndani ya kanisa si yenye afya, kanisa ni pahala jumuishi, uchakataji wa jumbe za injili unahitaji maandalizi , busara, hekima na ukomavu katika madhabahu.

Yawezekana KKKT imemfanya Mch. Kimaro awe tajiri na ana enjoy raha na utamu wa kuwa sehemu ya kundi la watu matajiri.

Ni kwa neema ndio watu hupata vyote na vyote havigawiki.

Diversity is strength especially in a well coordinated way of thinking and looking at issues squarely.

How do you reach out the message may be so catastrophic.

Nyakati muhimu katika kuishi Imani maarifa yake Mungu ndani yetu yawe nguzo ya vinywa vyetu nyakati za uwakilisho na uwasilisho.

Wadiz
 
Yawezekana KKKT imemfanya Mch.Kimaro awe tajiri na ana enjoy raha na utamu wa kuwa sehemu ya kundi la watu matajiri.

Sijaelewa kuna nini kimetokea tena kwa Kimario?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mchaga huyo, ni kawaida yao wakishapata hela hawanaga utu, dharau, maringo, majivuno, kauli chechefu n.k
 
Amewananga maskini na kuwapa sifa kubwa na nyingi matajiri wa kanisa lake, nadhani ndio waliomoigania kwenye sakata lake la kibri, jeuri, na dharau kwa wakristo
Waislam ni matajiri sana lakini huwezi kusikia mahubiri ya kibaguzi kabisa.

Kuna watu wanaufanya ukristo uwe dini ya hovyo sana wakati haiko hivyo.Ndio maana utakuta watoto wa kike wa Kikristo akiwa mzuri ni bora adange kwa matajiri kuliko kuolewa na mume aliye na kipato cha kawaida.
Arusi zetu zimejaa matumizi makubwa ya anasa yasiyo ya lazima na hawa hawa wachungaji ndio wanayapenda.

Naamini wachungaji wengi ni wafuasi waaminifu wa illuminat na wanajitahidi kuhamasisha vijana wapende pesa hata kama ikibidi kuua.Maana hawa hawa illuminat wameweka mifumo migumu katika tawala nyingi ili kupata utajiri iwe ni lazima kukiuka utu na ubinadamu kwanza.
Wao wanasema uoga wako ndio umaskini wako.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Wasalaam JF,

Hekima na busara ni speed governor ya kuzuia kuropoka na kufoka, dhana ya matajiri na maskini ndani ya kanisa si yenye afya, kanisa ni pahala jumuishi, uchakataji wa jumbe za injili unahitaji maandalizi , busara, hekima na ukomavu katika madhabahu.
Yawezekana KKKT imemfanya Mch.Kimaro awe tajiri na ana enjoy raha na utamu wa kuwa sehemu ya kundi la watu matajiri.

Ni kwa neema ndio watu hupata vyote na vyote havigawiki.

Diversity is strength especially in a well coordinated way of thinking and looking at issues squarely.

How do you reach out the message may be so catastrophic.

Nyakati muhimu katika kuishi Imani maarifa yake Mungu ndani yetu yawe nguzo ya vinywa vyetu nyakati za uwakilisho na uwasilisho.

Wadiz
Kuna kitu/ujumbe unataka kutupatia.Lakini,haujaeleweka.Hebu fafanua.
 
Waislam ni matajiri sana lakini huwezi kusikia mahubiri ya kibaguzi kabisa.

Kuna watu wanaufanya ukristo uwe dini ya hovyo sana wakati haiko hivyo.Ndio maana utakuta watoto wa kike wa Kikristo akiwa mzuri ni bora adange kwa matajiri kuliko kuolewa na mume aliye na kipato cha kawaida.
Arusi zetu zimejaa matumizi makubwa ya anasa yasiyo ya lazima na hawa hawa wachungaji ndio wanayapenda.

Naamini wachungaji wengi ni wafuasi waaminifu wa illuminat na wanajitahidi kuhamasisha vijana wapende pesa hata kama ikibidi kuua.Maana hawa hawa illuminat wameweka mifumo migumu katika tawala nyingi ili kupata utajiri iwe ni lazima kukiuka utu na ubinadamu kwanza.
Wao wanasema uoga wako ndio umaskini wako.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ndo maana kama una kipato cha kawaida mzazi ndo wakwanza kukusagia kunguni wengi wao wanazalishwa na kuachwa
 
Elimu itolewe watu tuelewe. Kuwa tajiri sio dhambi. Kwa nini walala hoi tunakuwa na chuki na matajiri? Wao sio walio wanaosababisha tuwe na mafukara hivyo kuwa wenye chuki dhidi yao. Ni uvivu wetu umetufikisha hapa. Tuige mbinu gani halali wametumia kuupata utajiri nasi tuwe matajiri kama Wao.
Tunasahau kuwa matajiri ndio wanaotufanya kuonekana watu na maisha haya ya masikini jeuri. Tunavaa tunapendeza kwa viwanda vya nguo zao. Tunatumia simu za viwanda vyao kuingia jf . Tunatumia ndege na magari ya viwanda vyao kutanulia mjini. Maskini mimi hata vijiti vya kuchokonolea meno sijawahi kutengeneza. Naanzia wapi mkulima wa msata kumchukia tajiri.?
 
Tena ni vizuri Matajiri wakatengewa sehemu yao maalum ya kusalia,na hakuna kuwachanganya na Masikini,au unasemaje ndg!!??
 
Wasalaam JF,

Hekima na busara ni speed governor ya kuzuia kuropoka na kufoka, dhana ya matajiri na maskini ndani ya kanisa si yenye afya, kanisa ni pahala jumuishi, uchakataji wa jumbe za injili unahitaji maandalizi , busara, hekima na ukomavu katika madhabahu.

Yawezekana KKKT imemfanya Mch. Kimaro awe tajiri na ana enjoy raha na utamu wa kuwa sehemu ya kundi la watu matajiri.

Ni kwa neema ndio watu hupata vyote na vyote havigawiki.

Diversity is strength especially in a well coordinated way of thinking and looking at issues squarely.

How do you reach out the message may be so catastrophic.

Nyakati muhimu katika kuishi Imani maarifa yake Mungu ndani yetu yawe nguzo ya vinywa vyetu nyakati za uwakilisho na uwasilisho.

Wadiz
Masikini Mchungaji Kimaro, ameanza kukosa Nuru ya upako wa kiroho.
Mtu anenacho ndicho kilichomo moyoni.
Tunachokisikia toka kwa mchungaji Kimaro kinakosa ile Nuru.
 
Back
Top Bottom