Mchungaji Masanja Mkandamizaji baada ya kupitia majaribu ya shetani amemzawadia mkewe Monica zawadi ya Gari

Kwani Masanja ni Askofu? Theology amesomea chuo gani mkuu? Inashangaza mchumiatumbo mmoja from no where anakuja kujiita Askofu! Hizi siku za mwisho kumekuwa na manabii wengi wa uwongo.
1 Timotheo 3:2
[2]Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha;
A bishop then must be blameless, the husband of one wife, vigilant, sober, of good behaviour, given to hospitality, apt to teach;
 

Masanja sio Askofu Mkuu acheni kufanya ujinga. Askofu Mkuu anakuwa na maaskofu na wachungji na majimbo. Masanja Hana hata Askofu Mmoja Wala Jimbo. Msiufanye ukristo Kama tambala bovu.
 
Umeona picha ama kadi?

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Masanja ni Askofu? Theology amesomea chuo gani mkuu? Inashangaza mchumiatumbo mmoja from no where anakuja kujiita Askofu! Hizi siku za mwisho kumekuwa na manabii wengi wa uwongo.

Wanaudharilisha ukristo kwa kweli. Mtu anajiita Askofu lakini ana madhaifu mengi hata mshirika wa kawaida ana nafuu. Unajiita Askofu lakini unacheza komedi za kijinga, vijembe kwenye siasa na kutoweza kuiongoza ndoa yako.
 
Ile nafasi Katibu imeisha pata mtu au bado iko wazi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…