BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Hamna kwakweli mi siwezi kumpongeza mke wangu kwa kunisaliti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Masanja ni Askofu? Theology amesomea chuo gani mkuu? Inashangaza mchumiatumbo mmoja from no where anakuja kujiita Askofu! Hizi siku za mwisho kumekuwa na manabii wengi wa uwongo.
Kifo ni kifo tuAtakufa vibaya huyuuuu
NAMUHURUMIAAA[emoji16][emoji16][emoji16]
Usinifokee.Mkuu huyo sio mchungaji wako hadi umpangie cha kufanya. Kanisa ni lake kaanzisha yeye mwenyewe...ukipenda kuwa chini yake utamuita mchungaji. Usipopenda unamuita masanja comedian maisha yanaenda
Nimetoa maoni sijakufokea. Acha kupanic.Usinifokee.
Hapa ni ruksa kila mtu kutoa maoni yake.
Mke wa Mchungaji kuhusishwa na maswala ya ngono haikubaliki.
Jitafakari.
Uzuri wa ibada unapimwa na niniLeo.wamefanya ibada nnzur sna wasafi worship Sunday nimewaaelewaa sanan
Mi nikasirikie nini sasa.Nimetoa maoni sijakufokea. Acha kupanic.
Masanja ni mchungaji na Monica ni mama mchungaji wa feel free church...wanafanya wapendavyo, wanavaa wapendavyo bila kuvunja sheria za nchi.
Bahati mbaya huna la kuwafanya zaidi ya makasiriko.
Kawashtaki kwa Mungu baba.
Ataendelea kuvaa anavyovyaa.Mi nikasirikie nini sasa.
Unaflahisha sana
Mwambie mama mchungaji avae kuheshima.
Mungu anataka wachungaji wavae nguo za Staha.
Kutoka 28:3
Nawe utawaambia watu wote wenye moyo wa hekima, niliowajaza na roho ya hekima wamfanyie Haruni mavazi ili kumtakasa anitumikie katika kazi ya ukuhani.
4 Na mavazi watakayoyafanya ni haya; kifuko cha kifuani, na naivera, na joho, na kanzu ya kazi ya urembo; na kilemba, na mshipi; nao watawafanyia Haruni nduguyo, na wanawe, mavazi matakatifu ili anitumikie katika kazi ya ukuhani.
Vimini havitakiwa Madhabahuni.
Kama anaenda tofauti na aliyemtuma hiyo kazi watajuana wao.Ataendelea kuvaa anavyovyaa.
Na hivyo vifungu vya biblia anavisoma kila siku.
Kuitwa mchungaji haimaanishi ni mchungaji wa kila mtu, waumini wake wanaamini ni mchungaji kwao inatosha. Mchungaji wako wewe ni yule ambaye unasali kwake.
Nimpongeze mchungaji kwa kuipendezesha pisi yake...toto ya kisukuma inang'aa si utani.
Aliyemtuma unamjua? Ulikuwepo wakati anatumwa?Kama anaenda tofauti na aliyemtuma hiyo kazi watajuana wao.
Mwambie mimi namkumbusha tu.
Ukimsijiliza huwa anasema aliye mtuma.Aliyemtuma unamjua? Ulikuwepo wakati anatumwa?
Tusiyoyaelewa tuyaache tufanye tunayoyaelewa.
Maandiko yameandikwa na binadamu kama wewe acha uoga.Mwambie Maandiko yanasema hivyo sio mimi.
Mimi namkumbusha tu.
Hakuna hiari kwenye kazi ya Mwenyewe ni kufuata maandiko.
Hata wewe ni Binadamu pia.Maandiko yameandikwa na binadamu kama wewe acha uoga.
Tangu lini Askofu akawa nabii? ....ila usiombe kugongewa inauma sanaKwani Masanja ni Askofu? Theology amesomea chuo gani mkuu? Inashangaza mchumiatumbo mmoja from no where anakuja kujiita Askofu! Hizi siku za mwisho kumekuwa na manabii wengi wa uwongo.
Natambua hilo.Hata wewe ni Binadamu pia.
Hata sheria za nchi unachagua kuzifuata au la.Natambua hilo.
Ninaweza kujiwekea sheria zangu nikazifata.
Sio lazima nifate hizo za Mathayo na Yohana. Maisha ni kuchagua.
Sheria za nchi ni lazima.Hata sheria za nchi unachagua kuzifuata au la.
Au unaogopa Polisi tu basi.
Naamini masanja hajausika na hicho kifo kijan Yule alikuwa mc shughuli za harusiKama Mchungaji amwambie mkewe awe anavaa mavazi ya heshima.
Mke wa mchungaji kuvaa mavazi ya kuonyesha mapaja na kurembua rembua mbele ya waumini ni fedheha sana.
Mwanamke akiwa siriaz hawezi tongozwa hata kidogo, hasa kama ni mke wa mchungaji.
Na hata ningekuwa mimi ningemtongoza tu.
Katibu wa Mchungaji Masanja kajiua, mchungaji hajawahi kutoa kauli ya kuombeleza kifo cha katibu wake wala kusikitika.
Yeye kabaki kumsifia mkewe tu. Mtoto wa Mungu kafa yeye anajichekesha tu na kumpamba mkewe.
Ni jambo la aibu sana.
Masanja na mkewe wajiheshimu kama wanataka kuhudumu huduma ya Kristo.
La sivyo waamue kuwa waimbaji wa Bongofavor.
Uchungaji una maadili yake.