Mchungaji Masanja Mkandamizaji baada ya kupitia majaribu ya shetani amemzawadia mkewe Monica zawadi ya Gari

Mchungaji Masanja Mkandamizaji baada ya kupitia majaribu ya shetani amemzawadia mkewe Monica zawadi ya Gari

Sheitwani mnamsingizia tu mara nyingi.
Kwani shetani mnamsingizia kuwa alimjaribu Masanja kasemaje?
 
Ashahitimu degree ya theology.
Ila vyuo vya theology ndio vinsongoza kutoa degree kama njugu
Kwani Masanja ni Askofu? Theology amesomea chuo gani mkuu? Inashangaza mchumiatumbo mmoja from no where anakuja kujiita Askofu! Hizi siku za mwisho kumekuwa na manabii wengi wa uwongo.
 
Atakufa vibaya huyuuuu

NAMUHURUMIAAA[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu huyo sio mchungaji wako hadi umpangie cha kufanya. Kanisa ni lake kaanzisha yeye mwenyewe...ukipenda kuwa chini yake utamuita mchungaji. Usipopenda unamuita masanja comedian maisha yanaenda
Usinifokee.
Hapa ni ruksa kila mtu kutoa maoni yake.

Anzisha Forum yako ya wachangiaji wanao kufurahisha.

Mke wa Mchungaji kuhusishwa na maswala ya ngono haikubaliki.

Jitafakari.
 
Usinifokee.
Hapa ni ruksa kila mtu kutoa maoni yake.
Mke wa Mchungaji kuhusishwa na maswala ya ngono haikubaliki.

Jitafakari.
Nimetoa maoni sijakufokea. Acha kupanic.

Masanja ni mchungaji na Monica ni mama mchungaji wa feel free church...wanafanya wapendavyo, wanavaa wapendavyo bila kuvunja sheria za nchi.
Bahati mbaya huna la kuwafanya zaidi ya makasiriko.
Kawashtaki kwa Mungu baba.
 
Mi nikasirikie nini sasa.
Unaflahisha sana

Mwambie mama mchungaji avae kiheshima.
Mungu anataka wachungaji wavae nguo za Staha.

Kutoka 28:3
Nawe utawaambia watu wote wenye moyo wa hekima, niliowajaza na roho ya hekima wamfanyie Haruni mavazi ili kumtakasa anitumikie katika kazi ya ukuhani.

4 Na mavazi watakayoyafanya ni haya; kifuko cha kifuani, na naivera, na joho, na kanzu ya kazi ya urembo; na kilemba, na mshipi; nao watawafanyia Haruni nduguyo, na wanawe, mavazi matakatifu ili anitumikie katika kazi ya ukuhani.

Vimini havitakiwa Madhabahuni.
 
Mi nikasirikie nini sasa.
Unaflahisha sana

Mwambie mama mchungaji avae kuheshima.
Mungu anataka wachungaji wavae nguo za Staha.

Kutoka 28:3
Nawe utawaambia watu wote wenye moyo wa hekima, niliowajaza na roho ya hekima wamfanyie Haruni mavazi ili kumtakasa anitumikie katika kazi ya ukuhani.

4 Na mavazi watakayoyafanya ni haya; kifuko cha kifuani, na naivera, na joho, na kanzu ya kazi ya urembo; na kilemba, na mshipi; nao watawafanyia Haruni nduguyo, na wanawe, mavazi matakatifu ili anitumikie katika kazi ya ukuhani.

Vimini havitakiwa Madhabahuni.
Ataendelea kuvaa anavyovyaa.
Na hivyo vifungu vya biblia anavisoma kila siku.
Kuitwa mchungaji haimaanishi ni mchungaji wa kila mtu, waumini wake wanaamini ni mchungaji kwao inatosha. Mchungaji wako wewe ni yule ambaye unasali kwake.

Nimpongeze mchungaji kwa kuipendezesha pisi yake...toto ya kisukuma inang'aa si utani.
 
Kama anaenda tofauti na aliyemtuma hiyo kazi watajuana wao.
Mwambie mimi namkumbusha tu.
 
Kama anaenda tofauti na aliyemtuma hiyo kazi watajuana wao.
Mwambie mimi namkumbusha tu.
Aliyemtuma unamjua? Ulikuwepo wakati anatumwa?
Tusiyoyaelewa tuyaache tufanye tunayoyaelewa.
 
Aliyemtuma unamjua? Ulikuwepo wakati anatumwa?
Tusiyoyaelewa tuyaache tufanye tunayoyaelewa.
Ukimsijiliza huwa anasema aliye mtuma.
Mwambie Maandiko yanasema hivyo sio mimi.
Mimi namkumbusha tu.

Hakuna hiari kwenye kazi ya Mwenyewe ni kufuata maandiko.
 
Mwambie Maandiko yanasema hivyo sio mimi.
Mimi namkumbusha tu.

Hakuna hiari kwenye kazi ya Mwenyewe ni kufuata maandiko.
Maandiko yameandikwa na binadamu kama wewe acha uoga.
 
Kwani Masanja ni Askofu? Theology amesomea chuo gani mkuu? Inashangaza mchumiatumbo mmoja from no where anakuja kujiita Askofu! Hizi siku za mwisho kumekuwa na manabii wengi wa uwongo.
Tangu lini Askofu akawa nabii? ....ila usiombe kugongewa inauma sana
 
Natambua hilo.
Ninaweza kujiwekea sheria zangu nikazifata.
Sio lazima nifate hizo za Mathayo na Yohana. Maisha ni kuchagua.
Hata sheria za nchi unachagua kuzifuata au la.
Au unaogopa Polisi tu basi.
 
Kama Mchungaji amwambie mkewe awe anavaa mavazi ya heshima.

Mke wa mchungaji kuvaa mavazi ya kuonyesha mapaja na kurembua rembua mbele ya waumini ni fedheha sana.
Mwanamke akiwa siriaz hawezi tongozwa hata kidogo, hasa kama ni mke wa mchungaji.

Na hata ningekuwa mimi ningemtongoza tu.

Katibu wa Mchungaji Masanja kajiua, mchungaji hajawahi kutoa kauli ya kuombeleza kifo cha katibu wake wala kusikitika.

Yeye kabaki kumsifia mkewe tu. Mtoto wa Mungu kafa yeye anajichekesha tu na kumpamba mkewe.
Ni jambo la aibu sana.

Masanja na mkewe wajiheshimu kama wanataka kuhudumu huduma ya Kristo.

La sivyo waamue kuwa waimbaji wa Bongofavor.
Uchungaji una maadili yake.
Naamini masanja hajausika na hicho kifo kijan Yule alikuwa mc shughuli za harusi

Nikuulize vzr HV unawajuwa mc nn au unawachukuliaje
 
Back
Top Bottom