Mchungaji Mashimo ahukumiwa kwenda jela miaka 2 na miezi 6

Nabii Geo devi wa Arusha swahiba wake atamtoa..na juzi alimpa mkwanja...
 
Geresha
 
Ningekua raisi mpaka sasa hao wachungaji na manabii wote wangekua gerezani kwa kosa la utapeli kwa jina la kiroho.
Nikukumbushe tu kuwa asilimia kubwa ni Wana vitengo nyeti

Vitengo vya dini nyeti na imani za kiroho Don't quote me wrong
 
Hao wachungaji na mitume ni mapandikizi ya ccm...ndiyo maana unashangaa kwanini wanafanya uanithi na serikali ya samia inawachekea ....kama huyu muhuni mwampooosa huenda tayari kapachikwa usalama wa taifa
Kwani kafanyaje mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…