Mchungaji Mastai: Rais Magufuli amefanana na Nelson Mandela, Mungu ameweka kitu ndani yake

Mchungaji Mastai: Rais Magufuli amefanana na Nelson Mandela, Mungu ameweka kitu ndani yake

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mchungaji Mastai wa KKKT Kimara amesema siyo kila anayetaka kuwa kiongozi ana kipawa bali Mungu ameweka vipawa vya uongozi kwa wateule wachache.

Kwa mfano, Nelson Mandela (R.I.P) wa Afrika ya Kusini Mungu aliweka kipawa cha uongozi ndani yake na hapa Tanzania Mungu ameweka kipawa cha uongozi kwa Yohana ( John) Magufuli, amesisitiza mchungaji Mastai.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Muulize Mandela alimpiga risasi nani kwenye utawala wake? Muulize mandela alimfanyia raia yeyote wa South Africa kama Magufuli alivyowafanyia Erick Kabendera na mama yake?, Ben Saanane? Azory Gwanda? Mdude Nyangali na Tito Magoti?

Muulize pia ni lini Mandela aliwai sema hatopeleka miradi ya Maendeleo kwa wa South Africa ambao watachagua upinzani?

Akiweza kujibu haya mwambie aache kutumika!! Atunze heshima yake, Watanzania sio wajinga!!
 
Ni uhakika kabisa ile Tume ya Amani itamshukia kama walivyofanya kwa Mwingira.

Anweza kuwa ameonyesha hisia zake kwenye platfom isiyo sahihi. Hapo kanisani kwake kuna wanachama wa vyama vingi.

Aendelee kulitunza jina lake Kubwa la kiutumishi aisiingie kwenye mitego itakayo mletea doa.acha siasa zijiendeshe zenyewe.
 
Mandela hakuwahi kutoa vitisho kama hivi au kuwadhalilisha akina mama na mashangazi wa South Africa kiasi hiki. Acheni kumfananisha Mandela na watu wa ajabu ajabu wasio na hadhi.

Mchungaji Maksai wa KKKT kimara amesema siyo kila anayetaka kuwa kiongozi ana kipawa bali Mungu ameweka vipawa vya uongozi kwa wateule wachache.

Kwa mfano Nelson Mandela rip wa Afrika ya kusini Mungu aliweka kipawa cha uongozi ndani yake na hapa Tanzania Mungu ameweka kipawa cha uongozi kwa Yohana (John) Magufuli, amesisitiza mchungaji Maksai.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mandela hakuwahi kutoa vitisho kama hivi au kuwadhalilisha akina mama na mashangazi wa South Africa kiasi hiki. Acheni kumfananisha Mandela na watu wa ajabu ajabu wasio na hadhi.

Huyu Mastai keshaona utakatishaji wake fedha kupitia miradi ya kanisa lake aulinde kwa kumbeba magufuli. Hajui Mungu keshasema Magufuli ni mstaafu kuanzia hapo mwezi November 2020.
 
Ngoja tuone kama yule so called sheikh mkuu wa dar atatoa tamko
 
ujamuelewa vizuri mchungaji kachanganya kati ya Kabulu na madiba JPM ni kabulu mweusi.
 
Back
Top Bottom