Mchungaji Mastai: Rais Magufuli amefanana na Nelson Mandela, Mungu ameweka kitu ndani yake

Mchungaji Mastai: Rais Magufuli amefanana na Nelson Mandela, Mungu ameweka kitu ndani yake

Mandela hakuwahi kuchukiwa na watu wake kama huyu nduguye Nkurunziza.
 
Kipawa Cha utekaji , upotezaji watu , uuaji , ukiukaji was haki za binadamu na utawala Bora , wizi , uporaji .
IMG_20200926_235135.jpg
 
Muulize Mandela alimpiga risasi nani kwenye utawala wake? Muulize mandela alimfanyia raia yeyote wa South Africa kama Magufuli alivyowafanyia Erick Kabendera na mama yake?, Ben Saanane??? Azory Gwanda??? Mdude Nyangali na Tito Magoti?

Muulize pia ni lini Mandela aliwai sema hatopeleka miradi ya Maendeleo kwa wa South Africa ambao watachagua upinzani?

Akiweza kujibu haya mwambie aache kutumika!! Atunze heshima yake, Watanzania sio wajinga!
KKKT wamezidi unafiki! Mimi ni KKKT na ni muumini mzuri lakini yale yanaendelea ndani ya Kabisa ni unafiki wa kiwango cha SGR
 
Wewe Mchungaji hujitambui wala kusoma nyakati hujui kwa kifupi huyo mtu wako Hana kibali cha wananchi hata Mbingu ya Tanzania haimtaki ni katili kaharibu maisha ya wengi Twendeni na Tundu Lissu kiongozi mpenda haki.
 
Alipoongea yule wa Efatha kuhusu Lissu kulindwa na Mungu tulliona kamati ile ya wanajiita viongozi wa kamati ya amani ya dini walikuja na tamko la kuzuia siasa makanisani. Ngoja tuone kama watakemea hii kauli.
 
Alipoongea yule wa efatha kuhusu lissu kulindwa na Mungu tulliona kamati ile ya wanajiita viongozi wa kamati ya amani ya dini walikuja na tamko la kuzuia siasa makanisani. Ngoja tuone kama watakemea hii kauli.
Kusema Rais Magufuli ana kibali cha Mungu siyo siasa bwashee!
 
Back
Top Bottom