Mchungaji Mastai: Rais Magufuli amefanana na Nelson Mandela, Mungu ameweka kitu ndani yake

Mchungaji Mastai: Rais Magufuli amefanana na Nelson Mandela, Mungu ameweka kitu ndani yake

Mbona naona kama kuna utofauti mkubwa sana kati ya Magufuli na Mandela.

1. Mandela alipendwa na mabeberu na aliwakumbatia sana mabeberu

2. Magufuli hawapendi kabisaaaaa mabeberu ila anapenda misaada yao,
Kuwalinganisha hao ni sawa na kusema kuwa Mwl Nyerere analingana na Livingstone Lusinde
 
Ndo wale wachungani matapeli na washirikina
KKKT mmekubali kuanza kuwa na wachungaji wa aina hii ya kina Gwajima? Wanaoendeshwa na upepo maslahi?
Angalieni msituharibie taasisi yetu ya dini ambayo ni imara na inasimamia ukweli
 
Akiongea mwingira kumhusu Lissu mnasema anafanya siasa kanisani na ni kibaraka wa mabeberu. Tz kuna maajabu sana
 
Back
Top Bottom