Mchungaji Mastai: Rais Magufuli amefanana na Nelson Mandela, Mungu ameweka kitu ndani yake

Huyu Mastai keshaona utakatishaji wake fedha kupitia miradi ya kanisa lake aulinde kwa kumbeba magufuli . Hajui Mungu keshasema Magufuli ni mstaafu kuanzia hapo mwezi November 2020
Miradi gani bwashee?!
 
JPM ni zaidi ya Mandela hasa katika 'kuthubutu " kufanya mambo yaliyowashinda wengine
 
Kama kawaida yako muda mwingine, hapa umeamua kutuletea utani na matusi ndani yake.
 
Huyu mchungaji ni kibaraka! Wachungaji wa mshahara tu hawa!
 
Mchungaji Maksai ni Mtanzania mwenzetu hatuna shaka na uraia kuanzia wa baba yake, baba yake na wake mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…