Kuwalinganisha hao ni sawa na kusema kuwa Mwl Nyerere analingana na Livingstone LusindeMbona naona kama kuna utofauti mkubwa sana kati ya Magufuli na Mandela.
1. Mandela alipendwa na mabeberu na aliwakumbatia sana mabeberu
2. Magufuli hawapendi kabisaaaaa mabeberu ila anapenda misaada yao,
Ila kusema Lissu alilindwa na Mungu ni siasa?Kusema Rais Magufuli ana kibali cha Mungu siyo siasa bwashee!
Anaendesha miradi ya Kanisa?Yule Askofu Bagoza PhD ni dhehebu gani?
Amina bwashee!Absolutely true.
Amina,Mchungaji.
Siyo siasa!Ila kusema Lissu alilindwa na Mungu ni siasa?
KKKT mmekubali kuanza kuwa na wachungaji wa aina hii ya kina Gwajima? Wanaoendeshwa na upepo maslahi?Ndo wale wachungani matapeli na washirikina
At least you accept Magu resembles Rucifer - or head satan (mkuu wa mashetani) Lisu anafanana na binadamu. Highlands boyTundu Lisu anafanana na Savimbi!
sasa mbona kamati ya Alhad mussa ilitokwa na mapovu?Siyo siasa!
CCM baba Lao ushindi ni kama kunywa maji tu, nyie pingapinga ni losersTukutane October 28
Wanainchi sio wajingaMaamuzi ya wananchi ndo muhimu
Yeah manUkiwaga umevuta bange hujali kitu
Hiyo kamati iko kwa mujibu wa katiba ya nchi?sasa mbona kamati ya Alhad mussa ilitokwa na mapovu?
True awawezi rudia kosaWanainchi sio wajinga
Wewe highland boy,Hiyo kamati iko kwa mujibu wa katiba ya nchi?
Mdahalo unawahusu wagombea urais wa upinzani.Wewe highland boy,
midahalo imo kwenye sheria na kanuni za uchaguzi mbona mnasepa? Hiyo siyo katiba ya inji (nchi)?
For which purpose?Mdahalo unawahusu wagombea urais wa upinzani.
Wakati mnaipongeza baada ya kutoa tamko mlijiuliza hilo swali?Hiyo kamati iko kwa mujibu wa katiba ya nchi?