Mchungaji Mastai: Rais Magufuli amefanana na Nelson Mandela, Mungu ameweka kitu ndani yake

Daah! Kweli ukifa huthaminiwi; utaanza kufananishwa na vitu vya ajabu-ajabu!

NB: Nelson Mandela aliwasamehe watesi wake.
 

Acha uzushi wewe!
 
Kamati ya Umimi ya Shehe Ubwabwa hapa itapita kama haioni!! Kuna hela za nchi zinaliwa na wahuni Fulani wakijiita kamati ya amani sijui amani ya familia zao?
 

Askofu Augustine Mpemba awapa angalizo viongozi wenzake wa kidini kuwa Haki huleta Amani, hivyo kuombea Amani bila kwanza kukazania Haki ni kazi bure : Hivyo viongozi wajifunze kukemea uovu ili amani na utulivu utokee ndani ya jamii
Mashehe Na Maaskofu Tujifunze Hili Ili Tuheshimike
 
Tafadhali johnthebaptist naomba uweke video akiyasema hayo.
 
Wewe Johnthebabtist uwe na adabu na majina ya watu , Mandela aliteka ?, aliua ?, aliiba 1.5 tilioni , alikula rambirambi za tetemeko la Kagera ? Alibomolea watu nyumba ? Alivunja sheria na katiba ? Alibambikia watu kesi ? Alipora bureau de change ? Mandela hakuongeza mishahara na kupandisha madaraja kwa miaka mitano ? Unalinganisha mbingu na ardhi ?
 
Mchungaji hauko sawa. Nelson Mandela (RIP). Huyu baba alipitia mateso makali sana kuikomboa south.
Alifungwa gerezani pamoja na madudu mengine...

Still akatoka akiwa in peace. Hakutaka kulipa visasi.

Usimfananishe mandela na vitu vingine.
 
Karibu Sana kwa Ibada moja katika kanisa la KKKT mh. Rais , waumini wanakupenda Sana na wanakusubiri kwa hamu usali pamoja nao.
 
Ole Gunnar Out! He must go. Samahani lakini
 
Mandela naye alijenga uwanja wa ndege kijijini kwao Kunu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…