Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Ni bora kutoweka kabisa mgombea kuliko kuwa na mgombea aliyetoka CCMWanataka wampe kinana agombee Urais
Wameanza kumsafisha [emoji3]
Ila Chadema wasisahau hatuna sera za uraia pacha Tanzania
Kama ni kusadishwa, basi Mahakama ya Magufuli ndio iliyomsafisha na kumrejeshea haki yake.Twende na Kinana, ni muda wa kumsafisha... madodoki kazini.
Bonge moja la comment umeongea kitu cha kweli kabisa.Siasa za Bongo ukiwa siliasi utakoma.
Apana kinana mwenyewe ndiyo kamsameheMheshimiwa ana bahati sana, kwa madai yale ya fidia, ameokoka kufilisiwa. Wakili wa Kinana lazima awe amechukua chake.
Msomali ana roho ya kiungwana, kinana hathamini pesa, anathamini utuu. Alipokuwa Katibu Mkuu wa CCM, kuna miezi mshahara wake alikuwa anaugawa pale officini kwa wafanyikazi wenye shida na matatizoMsigwa amejiunga na.Zitto,hawezi kuaminika tena
Aliambiwa akanushe akakataa,kaona.kesi.imekua.ngumu.ndio anaomba radhi,kama alijua.ni uongo kwa.nini alikubali kupelekwa mahakamani...
CC:Salary slip [emoji23][emoji23][emoji23]Siasa za Bongo ukiwa siliasi utakoma.
Milioni 350 ya fidia kwa kinana angeipata wapi?Mch Msigwa bhana......hujui nyuma ya pazia, ungeacha tu kuomba radhi, wala wafipa wa huku ndani wasiombwe radhi.
Wameloa ndembendembe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona Mshana jr pekee yake mdo anajitutumua, akina sky, salary G sam wako kimya hawachangii hapa.
Kweli kabisaUongo ndio dhambi na ukosefu wa maadili kwa kiongozi. Alipaswa atangaze kujiuzulu nafasi zake zote katika jamii
Uongo huu ulimpatia gari ya kifahari V8
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa wataitwa viongozi wa nyumbu, lakini wakishahamia kwenu wanakuwa mashujaa.Yan viongozi wa nyumbu wanawapoteza makamanda wa ufipa kwaio nyuz zao zote wazifute na watengue kauli Yan mnawatapikisha alafu mnawaambia wayale matapish [emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja yako ina mashikoDuuuh siasa siasani...
Nijuavyo mimi wengi huwa wanasema baada ya kustaafu siasa, kusema leo wakati bado uko active kwenye siasa amechemka cos wapinzani wake watatumia kama fimbo kumchapa na hawezi kuaminika tena katika siasa za Tanzania.