Pre GE2025 Mchungaji Msigwa atangaza kukata rufaa kupinga Ushindi wa Joseph Mbilinyi (Sugu) Kanda ya Nyasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Viongozi wengi wa CHADEMA ukiondoa Mbowe hawana emotional intelligence na CCM wamekuwa wakinufaika sana na hili.

Wengi wameshindwa kuondoa harakati katika vichwa vyao lakini harakati bahati mbaya imeondoka katika matendo yao dhidi ya ccm.
 
Lakini mbona watendaji wa chama eneo hilo alikuwa nao hapo hapo, au ofisi nzima ya chama wanaondoka naye?
CHADEMA wachezewe akili na mahasmu wao na bado wasitambue, mbona hili litakuwa jambo la kushangaza sana!
Mkuu Kalamu Tanzania sasa hivi kuna ''jini'' limechoropoka kwenye chupa nasikia likitajwa kila kona ya nchi na wengine wanasema linavuka hata mipaka ya nchi. Kama ni kweli basi linaonekana kuwa lina randa randa kila kona na lina uwezo mkuu. Wanasema linaitwa ''Abdul'' japo sijajua kama ni kweli.
 
Wewe umetumwa na Tulia. Kama unaona Sugu hafai kagombee wewe basi.
 
Kama ''hayo yanayosemwa'' kwenye vijiwe yana ukweli wowote basi mimi nadhani yuko sahihi kufanya hivyo. Angeyafunika mpaka lini wakati nasikia kuna 'jini'' lenye uwezo mkuu limeshafanya yake?
 
Kwahiyo aonewe tu na hao Wala Rushwa?
 

Kwenye press ya mpinzani ikiona tbc na channel 10 hapo ujue tayari mtu kafika bei.
 
CHADEMA kumfanyia Uhuni Mch. Msigwa itawacost sana sio siri

Mch. Msigwa ni bora mara 1000 kuliko Sugu

Msigwa anaijua siasa na ana Hoja
 
Shaka ondoa mkuu, hili nalo litapita, kama Dr Slaa alishindwa Msigwa hatoweza kukitikisa chama,

Kama ambavyo Hayati Lowasa alivyoshindwa kuipasua CCM, pamoja na mafuriko yote Yale,
 
Fedha ya waarabu inawapa kiburi sana hawa, na wala hawana aibu kabisa kuitumia, tena waziwazi. Mimi sijui nchi hii tumerudi kinyumenyume kabisa toka lini, kwa sababu mambo kama haya yasingewezekana kabisa kufanywa na kiongozi yeyote enzi za Mwalimu Nyerere.

Lakini pengine inalazimu tupitie kwenye ngazi hii kabla hatujajirudi tena. Nani ajuae kutatokea nini hasira za watu zikishafikia kikomo!
 
Jamaa anafikiri Mbowe amekuwa mwenyekiti miaka yote hiyo bila hila!!? Watu wenye nguvu za kutishia maslahi yake lazima awapoteze.
Safari hii atakimaliza chama yeye mwenyewe. Hana mbinu za ziada tena kufanya hadaa kama anazofanya Samia.
 
Mch. Msigwa kuja CCM ni suala la muda.
 
Shaka ondoa mkuu, hili nalo litapita, kama Dr Slaa alishindwa Msigwa hatoweza kukitikisa chama,

Kama ambavyo Hayati Lowasa alivyoshindwa kuipasua CCM, pamoja na mafuriko yote Yale,
CCM ina dola, ina mahela ya kuhonga. Mtu haipendi lakini kwa vile kwenda chooni kwake kunategemea CCM, atakuwa mnafiki tu!
 
Yani hawa ndio wapewe nchi hawa !? ikiwa wanagombania utawala kwa ngazi ndogo kabisa kama hizi!? Kwakweli CCM iendelee tu kutawala tupambane humu humu ndani ya CCM hao wengine bado wana utoto
 
Kama unachagua mbunge ambaye hawezi kukupigania kwenye national cake then ukapimwe akili. Pengine kichwa kina kamasi badala ya akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…