Pre GE2025 Mchungaji Msigwa Awakaanga CHADEMA kwa Ujumbe wa Picha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM inatafuta Uongozi na kuwa madarakani kwa ajili ya kuwatumikia watu na kuwaletea maendeleo na siyo kujinufaisha au kushibisha matumbo ya viongozi wake.
Hiyo ni nadharia tu. Kama ingekuwa hivyo hali za ufisadi zisingesikika. Sema unajitoa ufahamu kile unachokiongea sio unachokiishi
 
Wewe na huyo mtu wako wote mna akili ndogo.Ujinga wenu watu werevu wanauchukulia kama comedy tu.
 
CCM inatafuta Uongozi na kuwa madarakani kwa ajili ya kuwatumikia watu na kuwaletea maendeleo na siyo kujinufaisha au kushibisha matumbo ya viongozi wake.
Mko madarakani miaka 60 bado unakuja na ngonjera za enzi ya karl peter.Usifikiri watz waleo ni wajinga kiasi chakuwafanya hawajui kabisa uwezo wenu ukipoishia.
 
Huyu atapiga kelele mwisho wa siku atakuja kuchoka

Ova
 
Hii Ina faida Gani kwa nchi

Ushindani wa sera kwa nchi ni muhimu dogo

Dogo Umeaminishwa siasa ni vita chuki na roho mbaya

Siasa hi mitazamo imani na falsafa

Ccm ni wajamaa cdm wanaamini kwenye hiyo soko huria hiyo ndo siasa

Kuanzia ccm leo achana na kutamani cdm wafe waumie au wapotee
 
Hivi who cares about this nigga and this cartoon?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…