Pre GE2025 Mchungaji Msigwa Awakaanga CHADEMA kwa Ujumbe wa Picha

Pre GE2025 Mchungaji Msigwa Awakaanga CHADEMA kwa Ujumbe wa Picha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM inatafuta Uongozi na kuwa madarakani kwa ajili ya kuwatumikia watu na kuwaletea maendeleo na siyo kujinufaisha au kushibisha matumbo ya viongozi wake.
Hiyo ni nadharia tu. Kama ingekuwa hivyo hali za ufisadi zisingesikika. Sema unajitoa ufahamu kile unachokiongea sio unachokiishi
 
Wewe na huyo mtu wako wote mna akili ndogo.Ujinga wenu watu werevu wanauchukulia kama comedy tu.
 
CCM inatafuta Uongozi na kuwa madarakani kwa ajili ya kuwatumikia watu na kuwaletea maendeleo na siyo kujinufaisha au kushibisha matumbo ya viongozi wake.
Mko madarakani miaka 60 bado unakuja na ngonjera za enzi ya karl peter.Usifikiri watz waleo ni wajinga kiasi chakuwafanya hawajui kabisa uwezo wenu ukipoishia.
 
Huyu atapiga kelele mwisho wa siku atakuja kuchoka

Ova
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mchungaji peter Msigwa anaendelea kufurahi maisha mapya ndani ya CCM,hali inayomfanya aendelee kukuta kwanini alipoteza muda kwenye chama cha CHADEMA kilichokosa muelekeo,Dira na hata sera zenye kugusa maisha ya watanzania.

Chama ambacho kimejaa udikiteta na kuendeshwa kama Sacco's au mradi wa mtu binafsi au kitega uchumi cha familia. Chama ambacho kinakwenda kwenda Utafikiri kipofu kigazini. Hakina sera wala ajenda zaidi ya kurukia rukia matukio.

Sasa mchungaji Msigwa akiwa anaendelea kuiumbua CHADEMA kwa Masuala mbalimbali mabaya ,ameposti picha huu hapa chini kama inavyoonekana.View attachment 3079997

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hii Ina faida Gani kwa nchi

Ushindani wa sera kwa nchi ni muhimu dogo

Dogo Umeaminishwa siasa ni vita chuki na roho mbaya

Siasa hi mitazamo imani na falsafa

Ccm ni wajamaa cdm wanaamini kwenye hiyo soko huria hiyo ndo siasa

Kuanzia ccm leo achana na kutamani cdm wafe waumie au wapotee
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mchungaji peter Msigwa anaendelea kufurahia maisha mapya ndani ya CCM,hali inayomfanya aendelee kujuta kwanini alipoteza muda kwenye chama cha CHADEMA kilichokosa muelekeo,Dira na hata sera zenye kugusa maisha ya watanzania.

Chama ambacho kimejaa udikiteta na kuendeshwa kama Sacco's au mradi wa mtu binafsi au kitega uchumi cha familia. Chama ambacho kinakwenda kwenda Utafikiri kipofu gizani ,Hakina sera wala ajenda zaidi ya kurukia rukia matukio.

Sasa mchungaji Msigwa akiwa anaendelea kuiumbua CHADEMA kwa Masuala mbalimbali mabaya ,ameposti picha hii hapa chini kama inavyoonekana.View attachment 3079997

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hivi who cares about this nigga and this cartoon?
 
Back
Top Bottom