Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Sikuingia CHADEMA kutafuta Vyeo bali Kuwatumikia Wananchi, nitaendelea kukitumikia chama Katika Jimbo lolote mtakalonihitaji!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Rushwa ya wazi tunaomba ushahidi ulio wa wazi pia tunahisi wewe ni kambi msigwa
 
Zile za CCM mmezizoea kiasi kwamba zimekuwa si rushwa tena bali hela ya kufutia vumbi kiatu!
Tanzania kinara wa rushwa za uchaguzi ni baba lao CCM, rushwa mbele kwa mbele.
 
pelekeni ushahidi takukuru, uchaguzi ulikua huru na wa haki, kama wamehongwa wajumbe na kutoa kura basi ni jambo binafsi la wajumbe sio la chama, ila kama wasimamia uchaguzi ndio wamepindua matokeo hapo kuna stahili malalamiko.
nyie mnaolalamiki rushwa mtueleze ni kwa namna gani rushwa imemnyima ushindi msigwa.
 
Tuliza akili fikiri, kati ya hawa wawili nani huwa na points zenye logics
-Sugu
-Msigwa
Mbona hata babuTale, Kibajaji na Nape wanazo pointi zenye lojiki! Ila kulingana na uwezo wa kichwa chako kufikiri, huko CCM wote inaaminika wana pointi zenye lojiki japo hilo haliwezekani.
 
Hahahahah kwani hao chadema wamekuomba ukajiunge nao mpaka uwashwe kiasi hicho
 
Mwenyekiti yupi Bi Kizi.mkazi? Yule form ni moja tu iliyokwisha shapishwa au hujui sheikh.
Huruhusiwi kutoa copy
Ni huyu mbowe mkuu kama sio basi tangazeni ndio kiongozi wa maisha wa chadema.
 
Uchaguzi wa aina hii umeiheshimisha sana cdm. Ule ushenzi unaondelea kwenye zile chaguzi za chama chenu, na chaguzi za nchi zimeingia aibu kubwa. Hii ndio demokrasia tunayoitaka.
Nguvu ya pesa imeshinda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…