Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rushwa ya wazi tunaomba ushahidi ulio wa wazi pia tunahisi wewe ni kambi msigwaRushwa za waziwazi zilizosheheni ndani ya chadema mpaka kusababisha sugu kushinda huko nyanda za juu, hakika ni angamizo la chadema, chadema hii hakika kwa kile kilichofanyika, chadema ni chama kisichofaa na watanzania wanahitaji chama mbadala wake, chama cha upinzani kilitakiwa kuwa chama cha mfano kwa kupinga rushwa hizi za waziwazi, hakika inasikitisha sana,chadema leo hii ndio wamegeuka wala rushwa wakubwa.
Chadema imeshapoteza sifa za chama cha siasa makini,sasa inakumbatia fedha na matajiri, aibu kwa chadema kuacha watu wenye weledi mkubwa kama Rev. Msigwa.rushwa ya wazi tunaomba ushahidi ulio wa wazi pia
tunahisi wewe ni kambi msigwa
That mean "RUSHWA, Imehalalishwa.Wapi kusikokuwa na rushwa? Kama vipi aende ccm akapambane na jesca au aende act wazalendo huko hatapata mpinzani
Zile za CCM mmezizoea kiasi kwamba zimekuwa si rushwa tena bali hela ya kufutia vumbi kiatu!Rushwa za waziwazi zilizosheheni ndani ya CHADEMA mpaka kusababisha sugu kushinda huko nyanda za juu, hakika ni angamizo la chadema, chadema hii hakika kwa kile kilichofanyika, chadema ni chama kisichofaa na watanzania wanahitaji chama mbadala wake, chama cha upinzani kilitakiwa kuwa chama cha mfano kwa kupinga rushwa hizi za waziwazi, hakika inasikitisha sana,chadema leo hii ndio wamegeuka wala rushwa wakubwa.
Tuliza akili fikiri, kati ya hawa wawili nani huwa na points zenye logicsZile za CCM mmezizoea kiasi kwamba zimekuwa si rushwa tena bali hela ya kufutia vumbi kiatu!
Tanzania kinara wa rushwa za uchaguzi ni baba lao CCM, rushwa mbele kwa mbele.
Mbona hata babuTale, Kibajaji na Nape wanazo pointi zenye lojiki! Ila kulingana na uwezo wa kichwa chako kufikiri, huko CCM wote inaaminika wana pointi zenye lojiki japo hilo haliwezekani.Tuliza akili fikiri, kati ya hawa wawili nani huwa na points zenye logics
-Sugu
-Msigwa
Hayo mapenzi yako kwa Msigwa yameanza lini!?.Chadema imeshapoteza sifa za chama cha siasa makini,sasa inakumbatia fedha na matajiri, aibu kwa chadema kuacha watu wenye weledi mkubwa kama Rev. Msigwa.
Rushwa za waziwazi zilizosheheni ndani ya CHADEMA mpaka kusababisha sugu kushinda huko nyanda za juu, hakika ni angamizo la CHADEMA, CHADEMA hii hakika kwa kile kilichofanyika, CHADEMA ni chama kisichofaa na watanzania wanahitaji chama mbadala wake.
Chama cha upinzani kilitakiwa kuwa chama cha mfano kwa kupinga rushwa hizi za waziwazi, hakika inasikitisha sana, CHADEMA leo hii ndio wamegeuka wala rushwa wakubwa.
Kwahiyo itoshe kusema CHADEMA nayo ina rushwa kama ambavyo wamekuwa wakiisema CCMWapi kusikokuwa na rushwa? Kama vipi aende ccm akapambane na jesca au aende act wazalendo huko hatapata mpinzani
Kwel kakaKwenye kushindana lazima mmoja awe mshindi
Muhimu wapambanie chama badala ya makundiKwel kaka
Mfano huyu ukamuomba tako kwa milion kwa uchawa huu atakataa kwelHahahahah kwani hao chadema wamekuomba ukajiunge nao mpaka uwashwe kiasi hicho
UWT wao wakishapewa posho wanawaza tu ujingaHayo mapenzi yako kwa Msigwa yameanza lini!?.
tabia za watanzania wote zinafanana, rushwa ni mtazamo ni jinsi gani unakirimu watu ili uwashawishi ki namna yumkini wakupe unajohitaji kutoka kwao, wengine waliita takrimaKwahiyo itoshe kusema CHADEMA nayo ina rushwa kama ambavyo wamekuwa wakiisema CCM
Ni huyu mbowe mkuu kama sio basi tangazeni ndio kiongozi wa maisha wa chadema.Mwenyekiti yupi Bi Kizi.mkazi? Yule form ni moja tu iliyokwisha shapishwa au hujui sheikh.
Huruhusiwi kutoa copy
Nguvu ya pesa imeshinda!Uchaguzi wa aina hii umeiheshimisha sana cdm. Ule ushenzi unaondelea kwenye zile chaguzi za chama chenu, na chaguzi za nchi zimeingia aibu kubwa. Hii ndio demokrasia tunayoitaka.