Pre GE2025 Mchungaji Msingwa anainajisi Siasa za Demokrasia, CCM ni safi kuliko CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Anapoikosoa chadema chama kilichompa utajiri alionao Leo anakosea sana. Hata CCM lazima wawe makini na mtu kama Msigwa. Iko siku atayachukua ya madhaifu ya CCM na kuyapeleka kwingine maana anayajuà.

Msigwa anataka kutuaminisha kuwa CCM ni wazuri sana kuliko CHADEMA, hii ni kweli? Huu ni udhaifu mkubwa sana kwa mtu kama msigwa, maana hata ukiachana na mkeo huwezi kutoa siri za ndani za mkeo hiyo.

CCM iwe makini na mtu kama huyu maana Iko siku siri za CCM zitakwenda public. Ni mpumbavu TU ambae atamuona msigwa ni hero. Mimi binafsi ninamuona kama kiongozi asiyefaa hata kuwa balozi wa nyumba kumi, maana integrity Yake ni ndogo sana.

Huwezi kuiboa chadema kwa njia hiyo maana wako watu hawaipendi CCM hata kama utawafanyia na kuwaambia nini. Sana sana watu hao watamuona mtu kama msigwa ni kibaraka, aliyenunuliwa, mpenda vyeo, punguani, mwenyewe njaa,

Binafsi siwezi kumkubali rafiki au mgeni anaenisimulia habari mbaya na siri za watu wengine, maana nafahamu kuwa akitoka kwangu ataondoka na siri zangu pia kwenda kuwasimulia watu wengine. Msigwa hafai jamani kwenye siasa hizi.
Katumwa na chama chake...

Cc: Mahondaw
 
Ccm ni Safi kuliko Chadema..
Ccm ni mkusanyiko wa watu wa makabila yote na dini zote...

Chadema imewahi hata kuwa na Mwenyekiti ambae sio mchaga au Mweka hazina sio mchaga?..

Ccm ina mapungufu yake lakini angalau ni chama cha kitaifa
 
Msigwa amejinyea, badala ajihifadhi asinuke mavi mbele ya watu, yeye ndio kwanza anajipitisha.
Huko anako jikomba wanamuangalia tu hata wao wanajua Msigwa Ni Kama mke aliyeachika/single mother ambaye sio mtu wa kuaminika.
 
Anapoikosoa chadema chama kilichompa utajiri alionao Leo anakosea sana. Hata CCM lazima wawe makini na mtu kama Msigwa. Iko siku atayachukua ya madhaifu ya CCM na kuyapeleka kwingine maana anayajuà.

Msigwa anataka kutuaminisha kuwa CCM ni wazuri sana kuliko CHADEMA, hii ni kweli? Huu ni udhaifu mkubwa sana kwa mtu kama msigwa, maana hata ukiachana na mkeo huwezi kutoa siri za ndani za mkeo hiyo.

CCM iwe makini na mtu kama huyu maana Iko siku siri za CCM zitakwenda public. Ni mpumbavu TU ambae atamuona msigwa ni hero. Mimi binafsi ninamuona kama kiongozi asiyefaa hata kuwa balozi wa nyumba kumi, maana integrity Yake ni ndogo sana.

Huwezi kuiboa chadema kwa njia hiyo maana wako watu hawaipendi CCM hata kama utawafanyia na kuwaambia nini. Sana sana watu hao watamuona mtu kama msigwa ni kibaraka, aliyenunuliwa, mpenda vyeo, punguani, mwenyewe njaa,

View attachment 3047703
Hahahaa ndio agenda zake na je hata CCM nako atawasema
 
Hakuna mwanaCCM mwenye akili timamu atamwamini mwanasiasa kama mchungaji msigwa, yaani unatoa siri ya kambi ulikokiwa kwa miaka 10 kama mbunge, je una uhakika gani kama siri za CCM hatazioeleka ACT kesho akikosa kuteuliwa kuwa mbunge CCM?
 
Anapoikosoa chadema chama kilichompa utajiri alionao Leo anakosea sana. Hata CCM lazima wawe makini na mtu kama Msigwa. Iko siku atayachukua ya madhaifu ya CCM na kuyapeleka kwingine maana anayajuà.

Msigwa anataka kutuaminisha kuwa CCM ni wazuri sana kuliko CHADEMA, hii ni kweli? Huu ni udhaifu mkubwa sana kwa mtu kama msigwa, maana hata ukiachana na mkeo huwezi kutoa siri za ndani za mkeo hiyo.

CCM iwe makini na mtu kama huyu maana Iko siku siri za CCM zitakwenda public. Ni mpumbavu TU ambae atamuona msigwa ni hero. Mimi binafsi ninamuona kama kiongozi asiyefaa hata kuwa balozi wa nyumba kumi, maana integrity Yake ni ndogo sana.

Huwezi kuiboa chadema kwa njia hiyo maana wako watu hawaipendi CCM hata kama utawafanyia na kuwaambia nini. Sana sana watu hao watamuona mtu kama msigwa ni kibaraka, aliyenunuliwa, mpenda vyeo, punguani, mwenyewe njaa,

View attachment 3047703
Njaa ni mbaya sana bro!! Kachukua pesa za Ccm ili aivuruge Chadema sasa akakutana na intelijensia kali aka pigwa chini. Sasa kazi inayo mfaa ni kuuza mitumba
 
Anavyomsema Mbowe na chadema utadhani huko CCM ni safiiiiii na Kuna malaika. Msigwa ameshindwa kufahamu nguvu ya shule za kata. shule hizi zinaonekana kama za hovyo lakini zitakuwa chimbuko la demokrasia nchini. Kupitia shule hizi Angalau sasa hivi Kuna watanzania wengi wanajua kuwa Msigwa ameyumba, amenunuliwa, ni mpenda vyeo, haaminiki, ni mnyea mkono uliomlisha, ni mtoboa jahazi lililomvusha, amefirisika kisiasa, hana fadhala, hakumbuki alikotoka, ni mbinafsi.
 
Anapoikosoa chadema chama kilichompa utajiri alionao Leo anakosea sana. Hata CCM lazima wawe makini na mtu kama Msigwa. Iko siku atayachukua ya madhaifu ya CCM na kuyapeleka kwingine maana anayajuà.

Msigwa anataka kutuaminisha kuwa CCM ni wazuri sana kuliko CHADEMA, hii ni kweli? Huu ni udhaifu mkubwa sana kwa mtu kama msigwa, maana hata ukiachana na mkeo huwezi kutoa siri za ndani za mkeo hiyo.

CCM iwe makini na mtu kama huyu maana Iko siku siri za CCM zitakwenda public. Ni mpumbavu TU ambae atamuona msigwa ni hero. Mimi binafsi ninamuona kama kiongozi asiyefaa hata kuwa balozi wa nyumba kumi, maana integrity Yake ni ndogo sana.

Huwezi kuiboa chadema kwa njia hiyo maana wako watu hawaipendi CCM hata kama utawafanyia na kuwaambia nini. Sana sana watu hao watamuona mtu kama msigwa ni kibaraka, aliyenunuliwa, mpenda vyeo, punguani, mwenyewe njaa,

View attachment 3047703
Tumbili
 
Huyu beki tatu wa mchungaji wa kizungu itafika wakati atawa blackmail hao CCM.
Haiwezekani chupi uliyovaa ndani, nyumba unayoishi na elimu za watoto na wajukuu wako vitokane na CHADEMA halafu uweze kuichafua CHADEMA na kuchafuka. Mungu hawezi kuruhusi kitu kama hicho kitokee, lazima utachafuka wewe na mali zako kwanza kabla ya chadema. Kuna watu walikuwa CCM kwa maisha yao yote wakaamua kuihama, kuisema na kuichafua CCM lakini waliishia kuchafuka wao na wengine walisambaratika kabisa. Hii ni kanuni ya Mungu sio uchawi Wala nini. Mtoto hawezi kuwadharau wazazi/walezi waliomzaa na kumlea na kumsomesha, kumlisha halafu akabaki salama. Msigwa hatabaki salama, labda kama alikuwa chadema kwa kutumwa na CCM.
 
Amekabidhiwa kuongoza kitengo cha siasa za majitaka
 
Attachments

  • IMG-20200403-WA0003~2.jpg
    IMG-20200403-WA0003~2.jpg
    18.8 KB · Views: 3
Haiwezekani chupi uliyovaa ndani, nyumba unayoishi na elimu za watoto na wajukuu wako vitokane na CHADEMA halafu uweze kuichafua CHADEMA na kuchafuka. Mungu hawezi kuruhusi kitu kama hicho kitokee, lazima utachafuka wewe na mali zako kwanza kabla ya chadema. Kuna watu walikuwa CCM kwa maisha yao yote wakaamua kuihama, kuisema na kuichafua CCM lakini waliishia kuchafuka wao na wengine walisambaratika kabisa. Hii ni kanuni ya Mungu sio uchawi Wala nini. Mtoto hawezi kuwadharau wazazi/walezi waliomzaa na kumlea na kumsomesha, kumlisha halafu akabaki salama. Msigwa hatabaki salama, labda kama alikuwa chadema kwa kutumwa na CCM.
Umemaliza yote. Huyu asubirie karma ichukue mkondo wake.
 
Ccm ni Safi kuliko Chadema..
Ccm ni mkusanyiko wa watu wa makabila yote na dini zote...

Chadema imewahi hata kuwa na Mwenyekiti ambae sio mchaga au Mweka hazina sio mchaga?..

Ccm ina mapungufu yake lakini angalau ni chama cha kitaifa
Chadema haijawahi kutawala hatuwezi kusema sana,CCM ndiyo yenye jukumu la kutushawishi kama wanafaa kuendelea kututawala
 
Mchungaji Msigwa amelalamika ukimya wa Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika na Msaidizi wake mh Kigaila kutojitokeza na kujibu Hoja zake

Msigwa amesema anapopanda jukwaani na Chama chake kipya na kurusha makombora huwa anasuniria mrejesho kutoka kwa Mnyika na Benson Kigaila lakini anashangaa wako kimyaaaa kana kwamba hawamfuatilii

Credit: Mwanahalisi Digital
 
Back
Top Bottom