kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Anapoikosoa chadema chama kilichompa utajiri alionao Leo anakosea sana. Hata CCM lazima wawe makini na mtu kama Msigwa. Iko siku atayachukua ya madhaifu ya CCM na kuyapeleka kwingine maana anayajuà.
Msigwa anataka kutuaminisha kuwa CCM ni wazuri sana kuliko CHADEMA, hii ni kweli? Huu ni udhaifu mkubwa sana kwa mtu kama msigwa, maana hata ukiachana na mkeo huwezi kutoa siri za ndani za mkeo hiyo.
CCM iwe makini na mtu kama huyu maana Iko siku siri za CCM zitakwenda public. Ni mpumbavu TU ambae atamuona msigwa ni hero. Mimi binafsi ninamuona kama kiongozi asiyefaa hata kuwa balozi wa nyumba kumi, maana integrity Yake ni ndogo sana.
Huwezi kuiboa chadema kwa njia hiyo maana wako watu hawaipendi CCM hata kama utawafanyia na kuwaambia nini. Sana sana watu hao watamuona mtu kama msigwa ni kibaraka, aliyenunuliwa, mpenda vyeo, punguani, mwenyewe njaa,