Mchungaji Mtikila asema CHADEMA wanahusika na kifo cha Chacha Wangwe; kumfikisha Lowassa Mahakamani

wadau nmesikia anasema alikopeshwa milion 3, alikopeshwa na nani? Cjamsikia vzr
 
kumbe anasema anategemea Rufaa yake ikubaliwe wiki hii apitishwe kugombea.
 
Kununukiwa inakufanya mtu ujitoe ufahamu
Mtu hata Mimi naweza kumnunua ,si wakusikilizwa!
 
Mtikila anasema bendra ina rangi ya damu....mmh ngumu hii
 
Mchungaji mtikila hiyo ni njaa yko acha kupotosha uma wa watanzania umegombea miaka mingi hupati si uache tu, kafie mbali.
 
Tanzania tunashida sana ya weledi, siku zote star tv walikuwa hawamuoni mtikila mpaka Edo alipohamia ukawa? Poor my Country
 
hivi jamani Mtikila hagombei, mbona anapewa muda hivyo km mgombea urais na anaeleza vipaumbele vyake watu wamchague, ikoje hii?

Hivi TCRA hawakutoa katazo la live interview kwa mtu asiye mgombea?
 
hivi jamani Mtikila hagombei, mbona anapewa muda hivyo km mgombea urais na anaeleza vipaumbele vyake watu wamchague, ikoje hii?

Dialo anampa air time ili amshambulie EL. StarTV na CCM lao moja.
 
Jamani mwacheni Mtikila...anatafuta pesa ya mboga.

Kuna mwanajf mmoja amemfananisha na askari Wa traffic.
 
Mwenzio alimkashif sana Lowasa kwa kigezo cha ugonjwa... Na ww umejiingiza tena umeenda mbal kwa kumuita marehemu......tubu hii dhambi
 
Sasa mpelekee salamu kuzimu sisi tutamchagua Lowassa ila yeye hata anayemtaka hawezi kumchagua Utukufu wa Mungu ni wa Milele!
 
Anaonesha dalili za kufa kweli huyu na asipotubu hakika yatamkuta ya kutisha, Mchungaji anakosa busara kiasi hiki???????
Du! Wewe kama nabii vile. Mchungaji keshanuna tayari.
 
Apumzike tu kwa amani aise, huyu mchungaji mpuuzi sana alikua, alikua hapimj maneno ya kuongea, sasa kama alisema afichae maradhi kifo humuumbua alikua anajua kua mtu anaweza akafa kwa ugonjwa tu??? Akili zake na za Nape nauye zinafanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…