Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hii station ya Star TV kwa kweli nadhani ina vilaza wengi sana,huwezi kumuokota mtu alafu ukamleta aje atukane wengine tena pasipo na ushaidi wowote,mi nachoomuomba mzee Mtikila ajue tu kwamba yeye na walio mtuma hawauziki na watu wanawaskiliza na kuwapuuza sasa hawana jipya.
sisi tunamtaka ivo alivyo, ili tuandike historia, kwani mpaka ulaya wafanye ndo tuige?!
Si aende mahakamani, ccm bana wanatumia hadi mataahira kushawishi! hatudanganyiki ni Lowassa tu.
Mbona mahakama ilibaini kifo cha Wangwe kilitokana na uendeshaji WA kasi hadi dereva akafungwa jela. Kama Mtikila alikuwa na ushahidi mbadala na ule WA mahakamani, aliukalua kwa sababu gani hadi mtoto WA watu akafungwa jela? Uchungaji hapa uko wapi au ndo mkumbo WA padri Slaa?Mchungaji Mtikila amezidi kusisitiza kuwa wahusika wakuu wa kifo cha Chacha Wangwe ni viongozi wa chadema, ushahidi anao na muda wowote ushahidi huo ukihitajika ataufikisha mahakamani.
Mwambie ndugu zangu kule Tarime wanamsubiri. Aende aseme hayo hadharani aone yatakayomsibu.Ni kuanzia saa 1:30 atakuwa akiongelea mwenendo wa kampeni na harakati za uchaguzi, stay tuned.