Mchungaji Peter Msigwa: Watu wanakuhitaji pale tu wanafaidika na wewe

Msigwa ana Kila kitu ambacho watu wengi ndo ndoto zao .

Sifikirii kama bado anaweza akawa MTU wa kutojua nini asimamie kwenye maisha yake .
Ana kila kitu!? Unahisi hahitaji chochote.. nae anatamani madaraka, anatamqni uwaziri, anatamani vingi tu hapo alipo.

Unadhani kule aliondoka ili huku aje kuwa ball boy wa bure, alitegemea kuja kupata usajili nae acheze, sasa kaokoteshwa mipira kafua jezi, list inatoka hata kwenye tiketi ya waingia bure hayumo
 
Sijui kwa nini mwamba wanamfanyia hivyo,ama hawana imani naye?
 
Ana best accomplishment kukaa kumjadili MTU kama huyo is waste of time .
 
Labda kama wewe ni Mgeni wa siasa hizi, alichofanya Msigwa nilimsapoti, that was the only survival mechanism.

Nadhani naeleweka
 
Dah 😆
 
Msigwa alikuwa shemeji wa Magufuli, yaani dada yake alikuwa mke wa Rais hivyo alistahili naye ale vya Ikulu kama sisi.
 
Malipo ni hapa hapa duniani. Kuna mengi ya kujifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…