SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Kilichomfanya ahame ni baada ya kukosa uenyekiti wa Kanda.Ilitakiwa ahamie enzi za magu angelamba hata uwazir
Kilichomfanya ahame ni baada ya kukosa uenyekiti wa Kanda.Ilitakiwa ahamie enzi za magu angelamba hata uwazir
Huyu siku hizi amejitoa akili kabisa...anavizia cheo.... hawa ndo walikuwa think tank wa chama na mbowe... tumetoka mbali mnoKuna mjinga mwingine anaitwa Yeriko Nyerere, naye hana muda mrefu kabla hajawa Toilet paper.
Huwa msaliti anaitwa na watu hata pale hawanamanufaa naye naye haachi kukubali!Amekuja gundua kwa kuchelewa sana. Huyu Msigwa alitembezwa sehemu nyingi za nchi kabebeshwa picha. Kama falah, taahira na msukule. Sasa anashtuka.
Too late. Na simu zake hawapokei. Hana issue tena kwa sasa. Siyo deal. Ameshadharaulika hana mbele wala nyuma.
View attachment 3577033
Kuwa na kila kitu si kutokuhitaji chochote, hamna binadam ana limit kwenye mahitajiMsigwa ana Kila kitu ambacho watu wengi ndo ndoto zao .
Sifikirii kama bado anaweza akawa MTU wa kutojua nini asimamie kwenye maisha yake .
Kufikiri kama hivyo ni matokeo ya njaaAmekuja gundua kwa kuchelewa sana. Huyu Msigwa alitembezwa sehemu nyingi za nchi kabebeshwa picha. Kama falah, taahira na msukule. Sasa anashtuka.
Too late. Na simu zake hawapokei. Hana issue tena kwa sasa. Siyo deal. Ameshadharaulika hana mbele wala nyuma.
View attachment 3577033
Kama Bashe ni mnyamwezi wa Nzega,Stagomena Tax ni Msukuma wa Sumve,Rostam ni Mnyamwezi wa Nzega,Zungu Mzaramo wa Kisiju inashindikakanaje mama Magu kuwa msukuma wa Sengerema?Yule Mama sio Msukuma, yule ni Mtusi asili ya Rwanda, huoni sura, Pua, Mwili.