Mchungaji Peter Msigwa: Watu wanakuhitaji pale tu wanafaidika na wewe

Sio msigwa tu.... misukule mingi sana ilidanganywa kupewa ubunge, vyeo n.k lakini now imetelekezwa .....

Imetumika kama toilet 🚻 paper
 
Bongo anaetakiwa aonewe huruma ndo huonea huruma wengine. Maskini husikitikia ugonjwa wa tajiri.
 

Huyu aje tu kujisalimisha Chadema. Huko ameshaharibu. Kitendo cha kumfananisha Maza na Dereva wa Daladala lazima kitakuwa kimemchukiza sana. Sidhani kama watamsamehe.
 
Huyu mpuuzi nilimwambia LIVE, ila kiburi kimemponza.
 
Mkuu,mbona wapo hao akina nchimbi kazunguka nao nchi nzima kwenye kampeni..huyu hakusajiliwa kipindi cha Magu.
Hivi sio magu ndio alimpa usajili.. basi kama ndio hivyo, alitumika km karatasi ya chooni
 
Sio msigwa tu.... misukule mingi sana ilidanganywa kupewa ubunge, vyeo n.k lakini now imetelekezwa .....

Imetumika kama toilet 🚻 paper
Kuna mjinga mwingine anaitwa Yeriko Nyerere, naye hana muda mrefu kabla hajawa Toilet paper.
 
Tangu Mbowe akose umwenyekiti na yeye kazi yake iliishia hapo hapo
Uko sahihi kabisa, jukumu alilopewa ilikuwa kumchafua Mbowe akiwa Mwenyekiti lakini baada ya Mbowe kulambishwa sakafu na kugeuka kuwa chawa wa Mama ndiyo kibarua cha Msigwa kikafika ukomo.⁹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…