Mchungaji Peter Msigwa: Watu wanakuhitaji pale tu wanafaidika na wewe

Pamoja na yote he didn't betray and attack his super friend from ukonga overtly,perhaps this is the core reason to be pending.
 
Kuna mjinga mwingine anaitwa Yeriko Nyerere, naye hana muda mrefu kabla hajawa Toilet paper.
Huyu siku hizi amejitoa akili kabisa...anavizia cheo.... hawa ndo walikuwa think tank wa chama na mbowe... tumetoka mbali mno
 
Huwa msaliti anaitwa na watu hata pale hawanamanufaa naye naye haachi kukubali!
 
Kufikiri kama hivyo ni matokeo ya njaa
 
Yule Mama sio Msukuma, yule ni Mtusi asili ya Rwanda, huoni sura, Pua, Mwili.
Kama Bashe ni mnyamwezi wa Nzega,Stagomena Tax ni Msukuma wa Sumve,Rostam ni Mnyamwezi wa Nzega,Zungu Mzaramo wa Kisiju inashindikakanaje mama Magu kuwa msukuma wa Sengerema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…