Mchungaji Rose Shaboka: Niliolewa nikiwa bikira

Mchungaji Rose Shaboka: Niliolewa nikiwa bikira

Unawajua team kataa ndoa wewe?

Hahahaaa Ke huwa hajibikiri mwenyewe bali Me ndiyo hufanya hiyo kazi...

Ni ujinga kuwaza kuwa Ke watatulia ilhali wavurugaji ni hao hao wasaka mke bikira
Naelewa hoja yako.

Ila nakwambia hivi maumbile ya mwanamke tofauti na mwanaume.

Mwanamke ni more attractive kwa wanaume kuliko walivyo wanaume kwa wanawake kwa maneno rahisi men are weak in terms of woman's body.

Wazee wetu walijua hili ndio maana wakawakomalia mabinti wajitunze.

Mwanaume ni ngumu kumzuia juu ya uzinzi ikiwa utawaacha wanawake watembee uchi na wawa seduce Wanaume.

Tatizo sisi tunavunja tamaduni na Desturi tukisema zimepitwa na wakati at the same time sisi hatuna the best options ili maisha yawe bora na salama kuliko zama hizo.

Bikra zio ishu haya mimba zinaongezeka ooh Bikra haina maana haya magonjwa ya zinaa hadi kwa watoto wa miaka 15, 16 bikra haina maana haya kwenye madanguro now watoto wa 14 ,,15,, 16 ,,17 ukiwataka utawapa.

Sasa tunayasema haya ili tuboreshe au tuharibu. Jee hali itaenda kuwa bora zaidi??
 
Bikra zio ishu haya mimba zinaongezeka ooh Bikra haina maana haya magonjwa ya zinaa hadi kwa watoto wa miaka 15, 16 bikra haina maana haya kwenye madanguro now watoto wa 14 ,,15,, 16 ,,17 ukiwataka utawapa.
Hakuna mtoto wa kike mwenye miaka 14 hadi 17 wa tajiri au mtawala ukimtaka utampata, hao wanaopatikana ni watoto wa masikini choka mbaya ambao chips kuku na pepsi kwao ni anasa. Watoto ambao ili wafike shule wanahitaji lifti ya bodaboda au huruma za konda wa daladala.
 
Naelewa hoja yako.

Ila nakwambia hivi maumbile ya mwanamke tofauti na mwanaume.

Mwanamke ni more attractive kwa wanaume kuliko walivyo wanaume kwa wanawake kwa maneno rahisi men are weak in terms of woman's body.

Wazee wetu walijua hili ndio maana wakawakomalia mabinti wajitunze.
Enzi za wazee wenu walikuwa wanaishi porini, mabinti wanashinda nyumbani tu, wanaume wanenda kuchunga, kuwinda au kulima au wanakutana kisimani wakienda kuchota maji. Pia babu zenu wengine wengi walikuwa wanakeketa wanawake ili kuwaondolea hamu ya ngono.
 
Hakuna mtoto wa kike mwenye miaka 14 hadi 17 wa tajiri au mtawala ukimtaka utampata, hao wanaopatikana ni watoto wa masikini choka mbaya ambao chips kuku na pepsi kwao ni anasa. Watoto ambao ili wafike shule wanahitaji lifti ya bodaboda au huruma za konda wa daladala.
Unachekesha kila mmoja ana level yake ya watu watakaompata kirahisi tuu.

Hao unaowataja na wao kutokana na kuporomoka kwa maadili Nowdays now wanapatikana kirahisi ila sio na boda boda mtaani ila nao kuna kundi la watoto wa kishua wa kiume wanawapata kirahisi mno.

Tena hao ndio Wana mambo ya ajabu hatari.
 
Enzi za wazee wenu walikuwa wanaishi porini, mabinti wanashinda nyumbani tu, wanaume wanenda kuchunga, kuwinda au kulima au wanakutana kisimani wakienda kuchota maji. Pia babu zenu wengine wengi walikuwa wanakeketa wanawake ili kuwaondolea hamu ya ngono.
Tatizo lako kwenye hoja unachagua sehemu ya kujibu alafu nyengine unakimbia kimbia.

Babu zetu waliishi maisha yao na kuweka Norms zao na kwa macho ya kawaida ziliwasaidia kwa kiasi kikubwa kuishi maisha mazuri na salama.

Sasa sisi tumekuwa na akili nyingi za kuweza kuchallenge yale ya kale. Lakini hatuna best options za kufanya maisha yawe bora na salama katika jamii kuliko huko zamani.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
You are smart guy. Huyo jamaa kajipanfa kutokukuelewa.
Kwahiyo utakesha binafsi nimepata elimu pana kupitia hoja zako juu ya mambo niliyokuwa nafikiria.
 
Ni muongo sana yule alikuwa demu wangu na alikuwa anaitwa Melina
 
sasa anamtangazia nani? kwani peke yake ndo kaolewa akiwa bikra?
Na bahati mbaya hatuwezi kuthibitisha kama anasema ukweli, labda ka Mwamba kalikoitoa kajitokeze. Au kaliishakufa ndio maana ana jeuri ya kusema!!
 
Mwanaume ni ngumu kumzuia juu ya uzinzi ikiwa utawaacha wanawake watembee uchi na wawa seduce Wanaume.
Mabinti wa ki Hadzabe huwa wanatembea matiti yakiwa nje bila kufunikwa na nguo na hawabakwi huko kwao mapolini...

Hiyo hoja ya kufunika mwili haina mashiko kabisa, ni heri useme mporomoko wa maadili ndio unawafanya Me hasa wale waishio mjini kuwaingilia Ke kwa tamaa zao za kimjini mjini
 
Hata kula panya kwa Wahadzabe ni kawaida na wamezoea huko walipo, hivyo kutembea matiti wazi hakuwasumbui.

Huku mjini tunapotegemea watu wavae nguo na wasitembee uchi, wakitembea uchi si watakuwa kivutio?
 
Back
Top Bottom