Me and me
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 226
- 496
Naelewa hoja yako.Unawajua team kataa ndoa wewe?
Hahahaaa Ke huwa hajibikiri mwenyewe bali Me ndiyo hufanya hiyo kazi...
Ni ujinga kuwaza kuwa Ke watatulia ilhali wavurugaji ni hao hao wasaka mke bikira
Ila nakwambia hivi maumbile ya mwanamke tofauti na mwanaume.
Mwanamke ni more attractive kwa wanaume kuliko walivyo wanaume kwa wanawake kwa maneno rahisi men are weak in terms of woman's body.
Wazee wetu walijua hili ndio maana wakawakomalia mabinti wajitunze.
Mwanaume ni ngumu kumzuia juu ya uzinzi ikiwa utawaacha wanawake watembee uchi na wawa seduce Wanaume.
Tatizo sisi tunavunja tamaduni na Desturi tukisema zimepitwa na wakati at the same time sisi hatuna the best options ili maisha yawe bora na salama kuliko zama hizo.
Bikra zio ishu haya mimba zinaongezeka ooh Bikra haina maana haya magonjwa ya zinaa hadi kwa watoto wa miaka 15, 16 bikra haina maana haya kwenye madanguro now watoto wa 14 ,,15,, 16 ,,17 ukiwataka utawapa.
Sasa tunayasema haya ili tuboreshe au tuharibu. Jee hali itaenda kuwa bora zaidi??