Mchungaji wa kanisa la Wasabato Kahama na familia yake wasoteshwa rumande kwa kesi ya dawa za kulevya

Mchungaji wa kanisa la Wasabato Kahama na familia yake wasoteshwa rumande kwa kesi ya dawa za kulevya

mkolintho

Member
Joined
Mar 3, 2023
Posts
56
Reaction score
40
Imekuwa dhuluma hadi kwa watumushi wa Mungu. Raia wema wakimbilie wapi?

Katika hali ya kushangaza Mchungaji mmoja wa kanisa la wasabato wilayani Kahama na familia yake wamejikuta wakinyanyasika pasipokuwa na uhalali wowote kufikia kuswekwa ndani na kulala rumande.

Kadhia hii imemkuta mchunga kondoo huyu wa bwana wakati akimgombelezea mkewe mwenye kitoto kichanga ambaye ni mganga (Daktari) katika hospitali ya manispaa ya Kahama akijaribu kuepusha asikamatwe na TAKUKURU kimchongo mchongo.

Mganga huyo alikuwa amekumbwa na kadhia inayosemekana kuwa ni ya kubambikiziwa na kukamatwa na madawa ya binadamu kwenye pochi yake akiwa kazini.

Kwamba 1 March 2023 TAKUKURU walimzukia mama huyo, walipokuwa wamelazimisha kuwapekua wafanyakazi hospitalini hapo. Kwamba kwenye pochi yake walikuta madawa hayo. Jambo ambalo ni utata mtupu kwa wanaomfahamu.

Familia hiyo ya mume, mke na kichanga chao imejikuta ikisukumwa ndani na kulala selo kwa kinachosemekana ni kukamilisha majigambo ya baharia mmoja mchakata mbususu za waumini kanisani kwa mchungaji huyo.

Baharia huyo ambaye pia ni muumini katika kanisa la mchungaji huyo pia ni afisa wa TAKUKURU wilayani humo. Kutokana na tabia zake zisizokidhi vigezo amekuwa kero kubwa kanisani hapo huku akijigamba kuwa atawafunza adabu wote wenye kujaribu kumletea gozigozi.

Mchungaji alipoitwa na mkewe kuwa amepata tatizo, alikwenda kuishia kupewa kesi kuwa amewatolea lugha chafu vigogo hao (wa TAKUKURU) naye kuishia kusukumwa ndani.

Kweli kikulacho ki nguoni mwako.

Matukio ya waumini kanisani hapo kukumbwa na kadhia zenye kuishia watu kusukumwa ndani bila sababu za msingi yamekuwa mengi.

Kwa hakika afisa huyu mchakata mabinti weupe weupe kanisani hapo yaonekana amedhamiria kweli kweli.

Kauli yake mbiu ikiwa, hayupo wa kumfanya lolote.
 
Imekuwa dhuluma hadi kwa watumushi wa Mungu. Raia wema wakimbilie wapi?

Katika hali ya kushangaza Mchungaji mmoja wa kanisa la wasabato wilayani Kahama na familia yake wamejikuta wakinyanyasika pasipokuwa na uhalali wowote kwa kuswekwa na kulala rumande.

Kadhia hii imemkuta mchunga kondoo huyu wa bwana wakati akimgombelezea mkewe mwenye kitoto kichanga ambaye ni mganga (Daktari) katika hospitali ya manispaa ya Kahama asikamatwe na TAKUKURU.

Mganga huyo alikuwa amekumbwa na kadhia inayosemekana kuwa ni ya kubambikiziwa na kukamatwa na madawa ya binadamu kwenye pochi yake akiwa kazini.

Kwamba 1 March 2023 TAKUKURU walimzukia mama huyo, walipokuwa wamelazimisha kuwapekua wafanyakazi hospitalini hapo. Kwamba kwenye pochi ya mama huyo walikuta madawa hayo. Jambo ambalo ni utata mtupu kwa wanaomfahamu.

Familia hiyo ya watu 3, yenye kitoto kichanga imejikuta ikisukumwa ndani na kulala selo kwa kinachosemekana ni kukamilisha majigambo ya baharia mmoja mchakata mbususu za waumini kanisani Kwa mchungaji huyo.

Baharia huyo muumini katika kanisa la mchungaji huyo anasemekana ni afisa mkubwa TAKUKURU wilayani humo. Kutokana na tabia zake zisizokidhi vigezo amekuwa kero kubwa kanisani hapo huku akijigamba kuwa atawafunza adabu wote wenye kumletea gozigozi.

Mchungaji alipoitwa na mkewe kuwa amepata tatizo, alikwenda kuishia kupewa kesi kuwa amewatolea lugha chafu vigogo hao (wa TAKUKURU) na kuishia kusukumwa ndani.

Kweli kikulacho kinguoni mwako.

Matukio ya waumini kanisani hapo kukumbwa na kadhia zenye kuishia watu kusukumwa ndani bila sababu yamekuwa mengi.

Kwa hakika afisa mchakata mabinti weupe weupe kanisani hapo amedhamiria kweli kweli. Kauli yake mbiu ikiwa hayupo wa kumfanya lolote.
Taarifa Yako Ina ukakasi, huyo bosi wa Takukuru inahisiana vipi na Kanisa?
Yeye ni muumini wa Kanisa Hilo?
 
Aache kiherehere.

Hapo kakamatwa kwa kosa la kuizuia taasisi kutimiza majukumu yake.

Kama angekuwa na nia njema, angesubiri aende kundhamini baada ya kesi yake kutajwa.

Wewe ni huyu TAKUKURU? Wewe ni hao TAKUKURU waliokuwa kwenye huo mchongo? Wewe ni muumini kwenye hili kanisa? Wewe ni mhusika hospitalini hapo? Au wewe ni polisi waliowahifadhi watumishi wa Mungu hawa selo walikosukumwa ndani?

Majibu kwenye maswali hayo yatadhihirisha nani ni mwenye kiherehere.
 
Taarifa Yako Ina ukakasi, huyo bosi wa Takukuru inahisiana vipi na Kanisa?
Yeye ni muumini wa Kanisa Hilo?

Taarifa Iko wazi. Taarifa inahusu ofisa wa TAKUKURU na familia ya mchungaji wake. Ofisa huyo ni muumini kanisani hapo.

Hapa ni kuwa mchungaji kasukumwa ndani kutokana na yaliyotokea baina yake na muumini wake safari hii kwenye eneo la tukio lenye mashaka ya kubambikiziana kesi.

Mchungaji na muumini huyu pana ka sintofahamu ka kimaadili kutokea kanisani wanakoabudu.
 
Jina la mtakukuru tafadhari

Baharia mtakukuru huyo mwenyeji wa Musoma, mhusudu mbususu nyeupe nyeupe, itaakisi kufanana naye kuliweka jina lake hadharani.

Ila alichomfanyia mchungaji huyu aliyefunzwa kusamehe x7x70 alikomfikisha sidhani kuwa atauhubiri tena ujumbe huo.
 
Baharia mchakata mbususu 😁😁😁😁😁

Makanisa haya ni taasisi zenye connections kwenye mamlaka zote.

Kumweka ndani Mchungaji? Waumini wake wanajisikia je? Mchungaji ananyimwa vipi dhamana?

Baharia mchakata mbususu kajivesha jukumu la kumtia adabu Mchungaji wake.

Zipo taarifa kuwa wapo waumini waliofunga kumlilia Mungu mwenyewe awaamulie kadhia hii.
 
Sasa umeandika mafumbo meengi yanasaidia nini? Kama lengo lako ni kutaka haki itendeke huyo mtu ungetaja details!

Hakuna mafumbo:

1. Mchungaji kawekwa selo Kahama polisi.
2. Mke wake na mtoto wao mchanga wameswekwa selo Kahama polisi.
3. Tukio ni la 1 March 2023.
4. Mchungaji ni wa kanisa la Wasabato.
5. M TAKUKURU ni muumini wa kanisa alikosuguana na Mchungaji huyo.
6. Kanisa ni Nyasubi Kahama.
7. Mke wa Mchungaji ni mganga hospitali ya manispaa Kahama.
8. Baharia ni mwenyeji wa Musoma.

Kapuni ni jina la mtakukuru tu - baharia mchakata mbususu.

Ninaamini pamoja na vyombo vya serikali, SDA church ni taasisi kubwa yenye connections za kutosha. Kwamba hawataacha kuchukua hatua stahiki kuona mtumishi wao huyu na familia yake hawadhalilishwi kireja reja hivi na mtu tu, kwa kutumia vyombo vya dola isivyo halali.

Tukio hili limeleta fedheha kubwa wilayani hapa. Mchungaji huyu ni mwuungwana mwenye maelfu ya kondoo chini yake.

Kama kwa watumishi wa Mungu hali ni hivi, nani yuko salama?
 
Write your reply...KAMA MCHUNGAJI ALIPASWA KUTUMIA HEKIMA UKITUMIA JAZBA UTAUMIA pia huyo mama yawezakana ni kweli anafanya hyo biashara hyo ni tabia ya manesi na madaktar
 
Write your reply...KAMA MCHUNGAJI ALIPASWA KUTUMIA HEKIMA UKITUMIA JAZBA UTAUMIA pia huyo mama yawezakana ni kweli anafanya hyo biashara hyo ni tabia ya manesi na madaktar

Zingatia kuna historia yenye ukakasi kumhusisha muumini huyu ambaye ni ofisa wa TAKUKURU (kama anavyojitambulisha mwenyewe).

Mchungaji kawekwa ndani na muumini wake.

Muumini huyu anakashfa nyingi zisizopendeza kanisani hapo. Muumini huyu ana misuguano na Mchungaji wake kanisani.

Bado haitoshi kuona mizania inalalia upande gani?
 
Watumishi wa Mungu ni mboni ya jicho la Mungu,

Nakumbuka Mwamakula alipowekwa ndani na mamlaka, kilichofuata wote tunakijua.

Tusubiri.
 
Back
Top Bottom