Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Soma mpaja mwisho utamuekewaTaarifa Yako Ina ukakasi, huyo bosi wa Takukuru inahisiana vipi na Kanisa?
Yeye ni muumini wa Kanisa Hilo?
Acha uoga wachungaji wa mchongo kibao tuHuyo afisa wa takukuru atapata laana ,mchungaji ni mtiwa mafuta wa mungu.kuna watu wawili hapa kwetu waliwahi kumpiga mch. Wetu cha ajabu walikufa wote vifo vya ajabu.huyo afisa namuonea huruma sana
Kwa nini unaamini kabambikiwa kesi? Ulikuwepo eneo la upekuzi?Taarifa Iko wazi. Taarifa inahusu ofisa wa TAKUKURU na familia ya mchungaji wake. Ofisa huyo ni muumini kanisani hapo.
Hapa ni kuwa mchungaji kasukumwa ndani kutokana na yaliyotokea baina yake na muumini wake safari hii kwenye eneo la tukio lenye mashaka ya kubambikiziana kesi.
Mchungaji na muumini huyu pana ka sintofahamu ka kimaadili kutokea kanisani wanakoabudu.
Kwann alikua anamuepusha asikamatwe na takukuru? Je huoni kama ni kinyume cha sheria za kuhujumu uchumi? Tuache na suala la uchungaji kwanza...Huoni kua alipaswa aache taratibu zifanyike kama alikua na doubt yoyote angeisema aidha kweny jopo la wahusika wa takukuru ama Mahakaman! Ni vzr ukatenganisha kwanza defensive mechanism ya uchungaji twende kisheria!!Imekuwa dhuluma hadi kwa watumushi wa Mungu. Raia wema wakimbilie wapi?
Katika hali ya kushangaza Mchungaji mmoja wa kanisa la wasabato wilayani Kahama na familia yake wamejikuta wakinyanyasika pasipokuwa na uhalali wowote kufikia kuswekwa ndani na kulala rumande.
Kadhia hii imemkuta mchunga kondoo huyu wa bwana wakati akimgombelezea mkewe mwenye kitoto kichanga ambaye ni mganga (Daktari) katika hospitali ya manispaa ya Kahama akijaribu kuepusha asikamatwe na TAKUKURU kimchongo mchongo.
Mganga huyo alikuwa amekumbwa na kadhia inayosemekana kuwa ni ya kubambikiziwa na kukamatwa na madawa ya binadamu kwenye pochi yake akiwa kazini.
Kwamba 1 March 2023 TAKUKURU walimzukia mama huyo, walipokuwa wamelazimisha kuwapekua wafanyakazi hospitalini hapo. Kwamba kwenye pochi yake walikuta madawa hayo. Jambo ambalo ni utata mtupu kwa wanaomfahamu.
Familia hiyo ya mume, mke na kichanga chao imejikuta ikisukumwa ndani na kulala selo kwa kinachosemekana ni kukamilisha majigambo ya baharia mmoja mchakata mbususu za waumini kanisani kwa mchungaji huyo.
Baharia huyo ambaye pia ni muumini katika kanisa la mchungaji huyo pia ni afisa wa TAKUKURU wilayani humo. Kutokana na tabia zake zisizokidhi vigezo amekuwa kero kubwa kanisani hapo huku akijigamba kuwa atawafunza adabu wote wenye kujaribu kumletea gozigozi.
Mchungaji alipoitwa na mkewe kuwa amepata tatizo, alikwenda kuishia kupewa kesi kuwa amewatolea lugha chafu vigogo hao (wa TAKUKURU) naye kuishia kusukumwa ndani.
Kweli kikulacho ki nguoni mwako.
Matukio ya waumini kanisani hapo kukumbwa na kadhia zenye kuishia watu kusukumwa ndani bila sababu za msingi yamekuwa mengi.
Kwa hakika afisa huyu mchakata mabinti weupe weupe kanisani hapo yaonekana amedhamiria kweli kweli.
Kauli yake mbiu ikiwa, hayupo wa kumfanya lolote.
Mama mchungaji kakutwa na dawa kwenye pochi yakeKwa anayelijua kanisa la wasabato ki muundo, utawala, utendaji na hata watenda kazi wake, habari hii ni ya kustusha, kutia simanzi, kuvunja moyo na kutetemesha mwili na roho.
Haikuyastahili haya familia hii.
Ingekuwa heri, kabla ya kuandika bandiko lako ukajiridhisha na mambo mengi kidogo ya hayo uliyoyaandika:Zingatia kuna historia yenye ukakasi kumhusisha muumini huyu ambaye ni ofisa wa TAKUKURU (kama anavyojitambulisha mwenyewe).
Mchungaji kawekwa ndani na muumini wake.
Muumini huyu anakashfa nyingi zisizopendeza kanisani hapo. Muumini huyu ana misuguano na Mchungaji wake kanisani.
Bado haitoshi kuona mizania inalalia upande gani?
Imekuwa dhuluma hadi kwa watumushi wa Mungu. Raia wema wakimbilie wapi?
Katika hali ya kushangaza Mchungaji mmoja wa kanisa la wasabato wilayani Kahama na familia yake wamejikuta wakinyanyasika pasipokuwa na uhalali wowote kufikia kuswekwa ndani na kulala rumande.
Kadhia hii imemkuta mchunga kondoo huyu wa bwana wakati akimgombelezea mkewe mwenye kitoto kichanga ambaye ni mganga (Daktari) katika hospitali ya manispaa ya Kahama akijaribu kuepusha asikamatwe na TAKUKURU kimchongo mchongo.
Mganga huyo alikuwa amekumbwa na kadhia inayosemekana kuwa ni ya kubambikiziwa na kukamatwa na madawa ya binadamu kwenye pochi yake akiwa kazini.
Kwamba 1 March 2023 TAKUKURU walimzukia mama huyo, walipokuwa wamelazimisha kuwapekua wafanyakazi hospitalini hapo. Kwamba kwenye pochi yake walikuta madawa hayo. Jambo ambalo ni utata mtupu kwa wanaomfahamu.
Familia hiyo ya mume, mke na kichanga chao imejikuta ikisukumwa ndani na kulala selo kwa kinachosemekana ni kukamilisha majigambo ya baharia mmoja mchakata mbususu za waumini kanisani kwa mchungaji huyo.
Baharia huyo ambaye pia ni muumini katika kanisa la mchungaji huyo pia ni afisa wa TAKUKURU wilayani humo. Kutokana na tabia zake zisizokidhi vigezo amekuwa kero kubwa kanisani hapo huku akijigamba kuwa atawafunza adabu wote wenye kujaribu kumletea gozigozi.
Mchungaji alipoitwa na mkewe kuwa amepata tatizo, alikwenda kuishia kupewa kesi kuwa amewatolea lugha chafu vigogo hao (wa TAKUKURU) naye kuishia kusukumwa ndani.
Kweli kikulacho ki nguoni mwako.
Matukio ya waumini kanisani hapo kukumbwa na kadhia zenye kuishia watu kusukumwa ndani bila sababu za msingi yamekuwa mengi.
Kwa hakika afisa huyu mchakata mabinti weupe weupe kanisani hapo yaonekana amedhamiria kweli kweli.
Kauli yake mbiu ikiwa, hayupo wa kumfanya lolote.
Ingekuwa heri, kabla ya kuandika bandiko lako ungali jiridhisha na mambo mengi kidogo ya hayo uliyoyaandika:Zingatia kuna historia yenye ukakasi kumhusisha muumini huyu ambaye ni ofisa wa TAKUKURU (kama anavyojitambulisha mwenyewe).
Mchungaji kawekwa ndani na muumini wake.
Muumini huyu anakashfa nyingi zisizopendeza kanisani hapo. Muumini huyu ana misuguano na Mchungaji wake kanisani.
Bado haitoshi kuona mizania inalalia upande gani?
Huyo afisa wa takukuru atapata laana ,mchungaji ni mtiwa mafuta wa mungu.kuna watu wawili hapa kwetu waliwahi kumpiga mch. Wetu cha ajabu walikufa wote vifo vya ajabu.huyo afisa namuonea huruma sana
Ingekuwa heri, kabla ya kuandika bandiko lako ukajiridhisha na mambo mengi kidogo ya hayo uliyoyaandika:
1. Ni kweli mchungaji alilala mahabusu? Kama ni kweli, basi uko sawa na kama ni uongo! Kwa nini unaleta taarifa kuihadaa umma.
2. Je ni kweli mchungaji na huyu unayemwita muumini wake wanamsuguano? Kama ndivyo msuguano semwa unahusi nini hata mke wake ahusike kwa namna yoyote?
3. Je huyo afisa semwa, alikwenda peke yake au walikutana tu mtaani na yeye kumchukua mke wa mtumishi wa Mungu huyo? Fafanua vyema tupate taarifa kamili.
3. Shida ya daktari ilikuwa nini hata kukamatwa?
Ingekuwa heri, kabla ya kuandika bandiko lako ungali jiridhisha na mambo mengi kidogo ya hayo uliyoyaandika:
1. Ni kweli mchungaji alilala mahabusu? Ni uongo! Kwa nini unaleta taarifa kuuhadaa umma.
2. Je ni kweli mchungaji na huyu unayemwita muumini wake wanamsuguano? Kama ndivyo msuguano semwa unahusi nini hata mke wake ahusike kwa namna yoyote na watu hawa wawili?
3. Je huyo afisa semwa, alikwenda peke yake au walikutana tu mtaani na yeye kumchukua mke wa mtumishi wa Mungu huyo? Na au walikwenda kama jopo kufanya kazi waliyokuwa wameagizwa na mkuu wao? Fafanua vyema tupate taarifa kamili.
3. Shida ya daktari ilikuwa nini hata kukamatwa? Je alikamatwa peke yake au na wengine, kama walikamatwa zaidi ya mmoja kwa nini mke wa mchungaji ndiye unayemsema na sio wote au wengine haifai kuwasemea?Mkuu, hebu toa taarifa kamili juu ya hili.
Mama mchungaji kakutwa na dawa kwenye pochi yake
Kuwa Mtumishi WA Mungu hakukufanyi usiwekwe ndani ukivunja sheria
Sero au mahabusu ni sehemu za kila mmoja wetu apatapo shutuma ziwe halali au si halali
Manabii wengi walishakaa Sero Kwa kesi halali au zakubumba.
Atatoka tuu, hizo ni changamoto za Maisha.
Alafu mchungaji anaingaji tena wa Kisabato anaingiaje kwenye League na muumini?
Hapo kuna ukakasi mkubwa, ishu ni Wanawake?
Kwann alikua anamuepusha asikamatwe na takukuru? Je huoni kama ni kinyume cha sheria za kuhujumu uchumi? Tuache na suala la uchungaji kwanza...Huoni kua alipaswa aache taratibu zifanyike kama alikua na doubt yoyote angeisema aidha kweny jopo la wahusika wa takukuru ama Mahakaman! Ni vzr ukatenganisha kwanza defensive mechanism ya uchungaji twende kisheria!!
Ungelijua usingeuleta uzi huu humu! Maana taarifa yako haina ukweli, mchungaji wa Nyasubi hajawahi kwenda polisi kwa lolote kwa hizo tarehe zako ulizoziweka kwenye huu Uzi wako wa uongo, sema una agenda yako na sababu zako.Angalia japo posts namba 24, 35 na 37 kuipata picha.
Lugha na utambulisho wa watu wakiwemo wadada weupe weupe kwa majina yao yamehifadhiwa.
Itoshe kusema SDA church ni taasisi kubwa yenye namna zake za kuyaweka mambo sawa ndani kwa ndani.
Kikubwa evidence isiyo na shaka!!Hata kwenye kesi za kubambikiziana kiufundi huwa ni sahihi
Sijaelewa mkuu wamemkuta nazo au wamembambikia?Wamekutwa wengi na kesi za kubambikiziwa. Hata Mheshimiwa Mama Samia analijua hilo.